Korosho za kangomba mwaka huu zitaua MTU...

Mkuu majina yalishaenda tulizoea hivyo kiufupi hiyo imetoka ikirudi pancha
Zjilala; nashukuru kwa taarifa maana nipo kanda ya nyonyo toka mwez wa 5 sijajua kinachojiri huko lkn nimeitumia miaka 2 nyuma. Hahaha kaz kaz
 
Ndugu wale wadau wa kangomba chukua hii...
Km ulinunua korosho kuanzia tani3 jiandae kuonyesha shamba lako...
Huu ndio msimamo wa serikali...imegundulika korosho nyingi si za wakulima halisi..
Uhakiki umeanza Jana na majina yatabandikwa
korosho nyingi zitakimbiwa na wenyewe...wale walionunua kwa magumashi bp juu juu.
Kikubwa andaa mipango mapema kaonyeshe shamba mwenyekiti wa mtaa na majirani lazima wathibitishe
Na km ulikodi shamba lazima uonyeshe mkataba wa kukodi shamba.

NB: Mh Rais najua unapita jf komaa pia kuna majina hewa yanaandaliwa na viongozi wa vyama vya ushirika,ukikaza utalipa tani laki1 tu zingine utazitaifisha kwa manufaa ya umma.
Nakukumbusha kuna majina hewa ya malipo...
wewe acha kututia presha wenzio dingi katuma wajeda kununua korosho basi na si vinginevyo
 
Ikiwa serikali imeamua kwa dhati kabisa kuingilia swala hili la unyanyasaji kwa wakulima unaotokana na Walanguzi basi Mkulima wetu ataheshimika. Akimaliza huku ahamie kwenye Pamba, Dengu, Choroko.
 
Ndugu wale wadau wa kangomba chukua hii...
Km ulinunua korosho kuanzia tani3 jiandae kuonyesha shamba lako...
Huu ndio msimamo wa serikali...imegundulika korosho nyingi si za wakulima halisi..
Uhakiki umeanza Jana na majina yatabandikwa
korosho nyingi zitakimbiwa na wenyewe...wale walionunua kwa magumashi bp juu juu.
Kikubwa andaa mipango mapema kaonyeshe shamba mwenyekiti wa mtaa na majirani lazima wathibitishe
Na km ulikodi shamba lazima uonyeshe mkataba wa kukodi shamba.

NB: Mh Rais najua unapita jf komaa pia kuna majina hewa yanaandaliwa na viongozi wa vyama vya ushirika,ukikaza utalipa tani laki1 tu zingine utazitaifisha kwa manufaa ya umma.
Nakukumbusha kuna majina hewa ya malipo...
Unaishauri serikali ifanye dhuluma?? "Kangomba" ni middleman ambaye kanuni za biashara zinamtambua, Kuweni making na maamuzi yenu 2020 siyo mbali
 
Zjilala; nashukuru kwa taarifa maana nipo kanda ya nyonyo toka mwez wa 5 sijajua kinachojiri huko lkn nimeitumia miaka 2 nyuma. Hahaha kaz kaz
Poa kuna wachache ambao walikuwa hawajapeleka ghalani labda hao wanaweza wakafanya namna japo yaluzitawanya kwa majina mbalimbali
 
Unaishauri serikali ifanye dhuluma?? "Kangomba" ni middleman ambaye kanuni za biashara zinamtambua, Kuweni making na maamuzi yenu 2020 siyo mbali
Middle man wa mazao ni watu wa dhuluma sana hawafai
 
Hivi unajua kwamba wakulima wanaouza kangomba ni wale ambao mavuno yao ni
Machache na wanashindwa kusubir mpaka kipindi cha mnada?wakulima hawa ni wale wanaovuna gunia 1-5
Ila wenye kuanzia tani wengi wao husubir
Mauzo kabisa.Pia hadi hii Leo pesa
Haijatoka,wakulima wenyewe wanawatafuta watu wa kangomba wawauzie.
 
Nimeishi huko Najua kangomba
Hufanywa na wakulima wenyewe kwa wenyewe ,wale wenye kipato kikubwa dhidi ya wenye kipato kidogo.80% ya wakulima hujihusisha na hii biashara watazidiana tani tu za kununua pia wapo wafanyakaz wachache wa halmashaur nao hujihusisha,ushaur hapa ni serikali ihakikishe pesa za korosho zinalipwa mapema.
Benk pia zinatoa mikopo kwa wakulima wakubwa tu,wadogo hawapati kitu,mfumo wa kangomba ndo unasaidia kutatua shida ndogo ndogo za kimaisha,tusiongee kwa kuwakomoa hao unaowaita walanguz na hawatok mbali wengi wao ni mkoa huohuo
 
Unaishauri serikali ifanye dhuluma?? "Kangomba" ni middleman ambaye kanuni za biashara zinamtambua, Kuweni making na maamuzi yenu 2020 siyo mbali
Pia serikali imewaonesha wakulima
Umuhimu wa zao la korosho
Sasa kama mkulima atauza kwa bei
Chini huo uamuz wake
Kama atasubir atauza bei
nzur zaid,
 
Ndugu wale wadau wa kangomba chukua hii...
Km ulinunua korosho kuanzia tani3 jiandae kuonyesha shamba lako...
Huu ndio msimamo wa serikali...imegundulika korosho nyingi si za wakulima halisi..
Uhakiki umeanza Jana na majina yatabandikwa
korosho nyingi zitakimbiwa na wenyewe...wale walionunua kwa magumashi bp juu juu.
Kikubwa andaa mipango mapema kaonyeshe shamba mwenyekiti wa mtaa na majirani lazima wathibitishe
Na km ulikodi shamba lazima uonyeshe mkataba wa kukodi shamba.

NB: Mh Rais najua unapita jf komaa pia kuna majina hewa yanaandaliwa na viongozi wa vyama vya ushirika,ukikaza utalipa tani laki1 tu zingine utazitaifisha kwa manufaa ya umma.
Nakukumbusha kuna majina hewa ya malipo...
Hizi ni dalili za watu kutolipwa...
 
"HAKUNA JEMA KWENYE HII SERIKALI"
 
Kwa sheria ipi kuwa kumiliki korosho lazima uwe umelima mwenyewe? Kuna watu walishakula advance tangu mwaka jana.
 
Back
Top Bottom