Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,702
- 26,223
Acha ulofa wewe. Ona kwanza, lijanamke lizima linaongea mambo ya kipuuziii; mxscheew!Nchi ina mambo ya kis. Nge hii,, kwan hao kangomba si watanzania wenzetu,na wananunua kihalali toka kwa wakulima,, AU kuna mkulima amelalamika kuwa ameibiwa,, yaani Magufuri hataki wananchi Wake wanunue mazao ya wakulima na wao wakauze wapate faida mbili tatu za kula na familia Zao...sijui anataka watu wafanye shuhuri gani huyu Baba,, sasa unataifisha mali ya mtu ambayo ni halali sio bange wala drugs, wala bunduki, miaka yote hao kangomba wananunua korosho na wala kulikuwa hamna malalamiko yoyote toka popote,
AU mwaka juzi wakulimA walivyouza korosho had kilo moja Kwa tsh 4000/= kangomba hawakuwepo??
Yaani Kama M/mungu hajamuadhibu huyu Baba hadi kwisha awamu yake au mwisho wa mwaka huu juu ya dhuluma aliyoifanya na washirika Wake,, ntaamini Kweli Mungu yupo pamoja nawafanyao dhuluma,