Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,381
- 24,979
Jiwe halisikii wala kufikiriHalafu jiwe sijui anawazaga nini?
Mkulima umemwambia utampa 3300tsh kitu ambacho hata soko halitoi. Kuanzia hapo tu umekula loss.
Bado unatimu ya ukaguzi, nayo hii inahitaji usafiri, chakula, malazi na malipo- hii nayo itabidi ukatoe tu hazina uwape.
Kuna hao wanajeshi waliopiga pilika, posho zao na mafuta ya magari na meli + chakula- hapa napo inabidi ukachomoe hazina.
Bado Korosho hiyohiyo inamtembeza waziri mkuu na mawaziri wengine kila uchao- nao wanahitaji posho + usafiri + malazi.
Mwisho wa siku unanunua kilo kwa 8,000/=tsh
halafu uweke gharama za kugrade maana nadhani wanajeshi wamechanganya grade A, B, C na D pamoja.
Kisha ubangue.
Halafu uendenazo sokoni, sasa sijui utaenda India utandike mkeka chini uuze au sijui itakuwaje!
Jiwe....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokufikiri kwa kina kunawaponza .......hili la korosho mwanzoni kabisa mliambiwa soko la dunia bei sio nzuri .....ule mnada wa 2700 mngekubali kuuza korosho watu wasingejinyonga Leo...hakuna ambae angedhurumiwa korosho zake kwa kutaifishwa na kila kitu kingekua sawa ila kiki za wanasiasa zimewapeleka kibra poleniSijui kusini kuna mikosi gani, gesi tuliumizwa na sasa koroshow ni utata!!
Tatizo jamaa yetu anaroho mbaya mmno..anapenda na kufurahi wafanyabiashara wakipata hasara.Hawajalipwa hata wale wasiohitaji kukaguliwa…. Leo hii unamwita mfanyabishara akae mezani ajadili na wewe namna ya kununua na kubangua korosho...wakati Ulimtoa baruti mara ya kwanza tena kwa kejeli na "madedilaini" kibao… Unasahau kuwa wakati unamtoa baruti...
1. Alikuwa keshakodi ghara huko Mtwara kwa ajili ya kuhifadhia korosho atakazozinunua
2. Alikodi Meli kuleta makontena ya kusafirishia korosho
3. Akalipia kuyashusha bandarini na kuyasafirisha hadi eneo la ghara
4. Anaingia mikataba na wapakiaji, walinzi etc
MARA GHAFRA UNAMPIGA STOP...THEN
1. Anasafirisha makontena matupu kurudi bandarini
2. Anakodi Meli tena kurudisha makontena alikoyatoa
3. Anarudisha ghara alilokodi
4. Anavunja mikataba na wote alioingia nao mikataba ya kazi mbalimbalia.. ulinzi, upakiaji etc
THEN UNAMWITA TENA MTU ULIYEMPITISHA KWENYE HAYO HAPO JUU MKAE MEZANI MJADILI JAMBO LILELILE...!!!!!
YEYE ANGEWEZA?
Kwa kithungu intapriti new year vipi nimelipatia?
Kwa kingereza ….hiyohiyo.
ngoja tuandae uzi tuulize wadauKwani mtaala wa entrepreneurship haukuwepo nyuma sidhani kama wawezafanya PhD Bila kukuta neno entrepreneurship
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakiko peke yake, kina mazuzu kibao nyuma yakeKichwa kimoja kinaharibu nchi..zaidi ya mil 50 tupo kimya.
Why!!
haaaaaaaaaaNdio hiyo hiyo uliyozungumza...!
si alisema hata tukikosa soko tutagawana tuzile maana kwa watanzania milioni 50 kila mtu atakula kilo2Wakulima wa kusini hawatakaa wamsahau Jiwe na mikurupuko yake maana tayari sasa wamekwama na Jiwe hana pa kuziuza hizo korosho maana wahindi aliwadharau
Sent using Jamii Forums mobile app
si alisema hata tukikosa soko tutagawana tuzile maana kwa watanzania milioni 50 kila mtu atakula kilo2
“Ukaguzi wa mashamba ya wakulima tunashindwa kuuelewa kwanini umekuwa ukifanywa kwa kusuasua, tukiuliza tunajibiwa eti magari hayana mafuta, mimi niko tayari kutoa mafuta na gari langu litumike kufanya ukaguzi kwenye shamba langu na kwa sababu korosho kwangu ndiyo msingi wa kuendesha maisha na sasa sina hela" alisema Khata
sijui anasubiri nini?
Mimi Ni Mkereketwa wa CCM na sikuunga Mkono uamuzi huo wa Serikal Na humu tumeandika Sana kupinga jambo hili