KOROSHO NGOMA NZITO: Wakulima Watinga ofisini kwa Mkuu wa Wilaya kudai malipo yao

Ee mwenyezi Mungu utusaidie. Tusiwe taifa la kushangilia pale tunaposhindwa. Tupe hekima ya kutafakari na kutafuta suluhisho tunapokumbana na changamoto.
 
Mamake walah, Yaani hadi hili bado unabisha, hizo elfu saba za lumumba zimefanya uwe faLa kiasi hiki
Vipi mmbeya upo? Naona wamekubana sana! Mkuu achana na hiyo biashara ya ukangomba!
 
Ee mwenyezi Mungu utusaidie. Tusiwe taifa la kushangilia pale tunaposhindwa. Tupe hekima ya kutafakari na kutafuta suluhisho tunapokumbana na changamoto.

Hekima tulishapewa mkuu, ndio maana watu walishauri mara tu changamoto ilipotokea lakini watawala wakaona ni Upuuzi na kufanya maamuzi kwa mlengo wa kisiasa zaidi kuliko weledi then matokeo yake ndio haya wanashindwa kuwalipa watu hela zao kwa wakati.

Hamna anaeshangilia kufeli ila ni vile tunaamini kupitia kufeli huku basi Mkulu anaweza jifunza next time awe anasikiliza ushauri ili nchi iweze kusogea kimaendeleo, ni hayo tu
 
Mr Lumumba tunaomba ushahidi wa unachosema (hukuunga mkono na ulipoandika), usije kuwa Bendera umeelekea upepo unapoelekea.

Ili wana Lumumba wenzako wajue kuwa Nchi haiendi kwa mihemko
Search thread husika then kasome my comments Kwenye Sakata la Sukari, Makinikia Na Korosho
 
Vipi mmbeya upo? Naona wamekubana sana! Mkuu achana na hiyo biashara ya ukangomba!

Umesikia mtu anasema atoe gari yake mkakague mashamba yake then apewe hela yake lakini bado mnajikanyaga.

Au ndio "Mnajitekenya ili badae mje mcheke wenyewe" kwamba mnataka magufuli aje atoe tamko kuwa walipwe haraka sana li aonekane shujaa kwa tatizo alilotengeneza mwenyewe
 
Afu teuzi zikitoka, JPM kateua waliotoka upinzani.

Utaskia jitu linalalamika,

"Kwanini amteue aliekua mpinzani.
Hii sio halali, anatuacha sisi tuliokipigania chama na Kulala maporini kwa ajili ya CCM"

Anasahau kua,
Kwa uwezo wake mdogo kichwani ndo Uliommyima chance.

JPM nae ni binadamu,
Ndo Maana nae sometimes huwa anakubali kua Kuna vitu Haviko FAIR.

Mfano;
Kama lile LA KIKOKOTOZI,
Alikubali kabisa kua Serikali yake nayo imechangia kuifilisi mifuko.

Lakini akatuliza akili na KUONA HALIJAKAA SAWA, kua Kustaafu sio dhambi na Mstaafu asibebeshwe zigo hilo.

Na Dada Irene alivyoshupaza Shingo, AKALIWA KICHWA.

KWAHYO;
Hizo pumba wanazojibu humu kwenye mitandao ili waonekane kwenye mbele ya JPM kua wanakipigania chama.

Na yeye mwenyewe huwa anachekecha na KUGUNDUA KUA ANA BAADHI YA WANACCM Vilaza.

Na tunakoelekea,
Naamini wengi wa wanaCCM watakuja kuvuliwa Uanachama kwa makosa kama haya ya KUONGEA PUMBA kwenye mitandao ya kijamii kama huyu UCD

MAANA,
Wanakidhalilisha sana
Chama Tawala Kikubwa cha Pili DUNIANI.

Wanakidhalilisha sana,
Chama cha Mzalendo Nambari Moja Tanzania, Raisi wetu Mpendwa JPM.

Wanakidhalilisha sana,
Chama cha Mapinduzi CCM





Sent using Jamii Forums mobile app
Utasubiri sana mkuu! Mimi sihitaji uteuzi ninakazi yangu inanitosha ila naikubali sana serikali ya awamu ya tano. Inatenda inachopanga!
 
Atakuja kusema kwamba hakuagiza wafanye ukaguzi wa mashamba ya wakulima watakao uza korosho. Najua atasema kwamba yeye aliagiza serikali inunue korosho na kisha jeshi litaisomba na kuipeleka korosho kwenye maghala ya serikali. Very soon atakuja kukana kwamba wasaidizi wake hawaku muelewa, na kisha lazima kiongozi mmoja atolewe kafara kama kawaida yetu.

100% True. Time will tell, Tujipe muda
 
Umesikia mtu anasema atoe gari yake mkakague mashamba yake then apewe hela yake lakini bado mnajikanyaga.

Au ndio "Mnajitekenya ili badae mje mcheke wenyewe" kwamba mnataka magufuli aje atoe tamko kuwa walipwe haraka sana li aonekane shujaa kwa tatizo alilotengeneza mwenyewe
Anaweza akawa kangomba huyo kama wewe!
 
Hakuna kushindwa kitu. Mlisema ndege haziji mpaka sasa tuna ndege tano mpyaaa!! Mradi wa Umeme wa Maji wa Rufiji mlisema hautaanza tayari umeanza! SGR mlisema haiwezekani Novemba 2019 train ya umeme inaanza kati ya Dar na Moro just to mention few projects!! Hapa Kazi Tu ukitaka umbeya na usaliti nenda Chadomo!!
Madeni aliyokuingiza utalipa wewe , mwanao, wajukuu, na vitukuu, kidogo tuu abebe na hata pensheni yako lakini wafanyakazi wa serikali wametuokoa, wewe sifia tuu, sisi tunanukku humu JF tuwakumbushe muda muafaka, wakati utajiita UCE SIYO UCD
 
Kuna Mambo yanafanya CCM tuonekana wajinga wewe Ni Moja wapo hua hatuna hoja kwenye maswala ya msingi.... Sasa korosho na uliyoandika hapo yanauhusiano gani???

Yan kwenye mada kama hizi hakuna mwana CCM akaekuja na jibu ila porojo na utetezi wa kijinga na hili hata kwenye kikokotoo lilionekana kutetea ujinga na dhuluma kisa chama. Ukweli uwe ukweli tumekosea

JPM akija kujibu hoja kwa alichosababisha yeye utatuona tunaibuka hum kushangilia tuwe na akili japo kidogo CCM inaangamia kwa Sasa hasa huku mitandaoni hatuna hoja kabisaaa Hawa wapinzania sio wajinga... Kwasasa Mimi mwana CCM ninayefia chama naumia Sana Mana maswali hayana majibu kabisaaa.

AIBU KWETU
Shida wenzio wanalipwa, kama una ufahamu usikubali kupokea shekeli ili umteketeze mtanzania mwenzako
 
Madeni aliyokuingiza utalipa wewe , mwanao, wajukuu, na vitukuu, kidogo tuu abebe na hata pensheni yako lakini wafanyakazi wa serikali wametuokoa, wewe sifia tuu, sisi tunanukku humu JF tuwakumbushe muda muafaka, wakati utajiita UCE SIYO UCD
Kangomba pole sana mkuu!
 
Hii ni sawa na unakatiza uswahili usalimii kiburi kimejaa kumbe mbele hakuna njia kuna ukuta,uliza salimia kila MTU ukienda ugenini,ukijifanya unajua kila kitu unaachwa utumbukie shimoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupambana na kangomba ni sawa na kuchoma msitu kuwafukuza nyani wanaokula mahinda. Kuna sehemu walichukua hela ndiko kutakakoumia mwishowe serikali. tafakari.
 
Back
Top Bottom