kongosho......

Last edited by a moderator:
hehehe Erickb52 bana, wewe si ndio jana mchana ulikuwa unamwambia Cantalisia wewe bila yeye ni sawa na e mail bila pasword? Ukibisha naleta ushahidi wa sredi, bora uchune tu
Hahahahaaa aisee klorokwini acha hayo mambo.....
Muda si mrefu Bishanga na Kongosho wamenigombanisha na Amyner na wewe tena unataka kuzidi kuharibu lol
Nihurumie basi coz hata kesi ya mwanzo haijaisha na leo naambulia mzungu wa nne....
Ila kesi ikiisha nakuja tuone hizo sheria unazozijua zitaapply kwangu?
Lawyer atafungwa na raia mwema hahahaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Chelsea ashapagwa kimoja na wana dakika moja mkononi ya normal time.
Spurz tushamlamba mtu 4 na zitaongezeka tu, hii haina ubishi
Mh ya Chelsea siamini aiseee lol
Ina maana NC watatupiga bao?
Lol
 
dah! kumbe? acha nimPM amyner nikusuluhishie mkuu, nitatumia maneno laini laini ili arudi kwako usiku huu huu.
Nimesuluhisha ndoa nyingi sana hapa jf na zimedumu

Update: chelsick ashapagwa la pili , cisse again
 
Hahahahaaaa ukim-pm waweza anza project yako maana nawewe sikuamini kabisa
We mwache tutayamaliza kifamilia...akipigwa na baridi atajisogeza mwenyewe hahahahaaaaaa
 
Mbona hukomenti hapo kwenye update? Chelshit kashajambiwa cha pili. Sori, Chelsick.
 
Inaniuma sana babu Asprin
Sina jinsi aiseeee
Halafu mi nilijua ushindi lazma tuupate ila bado simwamini Klorokwini ngoja nigoogle
 
Last edited by a moderator:
Inaniuma sana babu Asprin
Sina jinsi aiseeee
Halafu mi nilijua ushindi lazma tuupate ila bado simwamini Klorokwini ngoja nigoogle

Kazeni buti kwa Bayern. Ndo mlichobakiwa nacho kwa sasa. Na mkifanya masihara jamaa watawalamba mbao nyingi sana.
 
Last edited by a moderator:
Kazeni buti kwa Bayern. Ndo mlichobakiwa nacho kwa sasa. Na mkifanya masihara jamaa watawalamba mbao nyingi sana.
Kwa Bayern ni kitendawili aisee sio pakutegemea hata kidogo...
Jamaa wako vizuri sana na mfumo wao sidhani kama hata tukipark bus letu tutachomoka....
Tulikofika inatosha tu...tumewashindwa NC hao tutawaweza?
 
Poleni sana. Sie vijogoo tusiotembea peke yetu a.k.a Looserfools tushazoea kufungwa jadi yetu!
 
Kwa Bayern ni kitendawili aisee sio pakutegemea hata kidogo...
Jamaa wako vizuri sana na mfumo wao sidhani kama hata tukipark bus letu tutachomoka....
Tulikofika inatosha tu...tumewashindwa NC hao tutawaweza?

Bus ni kwa timu inayomiliki mpira kama Barca.. Vipi Bayern inamiliki mwanzo-mwisho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…