Kongosho asali ya ODM....

Ila hii iwe top secret btn you and me... Kama vile siri za jandoni zisivyohadithiwa mitaani...
Mwiko...!

Sawa Kongosho dear?
 
sasa ningesemaje??
Am going?

Afu wee, acha kuntia maneno mdomoni
ila nimekasirika
kwa nini ulikuwa unapiga story na mie wakati umajifunika na blanket?

Hadi Lizzy ndo kakufunua lol

Ungesema don't kusumbua mimi ingekuwa powa
 
Mkataba wa huu ulikuwa wa huyu Kongosho... Umeelewa?
We nimekutafuta sikuoni,au ulikuwa unaangalia penati za Zambia?

Ndio hivyo mkataba umewafunga. . .ni siri yenu nyie tu. . .wengine wote ruksa kutoifanya siri.
 
Babu anaoaje tena? Babu ni mchumba wa wajukuu wote, sasa inakuaje anamuoa mmoja wetu?
Tena Kongosho mkali kwa wake wenza, lazima atafunga access zote,
kwenda kwa babu itakua kwa appointment sasa... aaagggrrr

Sasa tumwite nani asaidie?
 
Back
Top Bottom