BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,162
mmmmmmmmmmh
Afroie na Lizzie hapo juu... Mtaatendi kwenye party? Nawaalika mshuhudie navomvika bibie almasi kidoleni. Pse say Yes. Mnajua navowajali?
kongosho my hun....sijasikia ukisema yes... Thats not how love goes. Plse shout! You belong to me, dont you sugar?
ha ha ha, mara moja kwa mwezi si mbaya
akiniwowa mbele ya mashahidi
inakuwa ni haki yake kula tundi
Halafu hii tabia ya kutembea na vibabu umeitoa wapi mbona hukuwa nayo?
Hope Kongosho atakuwa kaisoma hii post. Platinum! Bingo!
And I will marry you too!
Yes, i will marry you.
Dogo, kakojoe ulale. Okay?
kwani ulikuwa umeshindwa kuniambia??
Afroie na Lizzie hapo juu... Mtaatendi kwenye party? Nawaalika mshuhudie navomvika bibie almasi kidoleni. Pse say Yes. Mnajua navowajali?
Why wasting energy? I need it on bed.... Waiting!