thanks babu ODM
am kamming...
Nimekuchagua wewe.....Ni wewe tu nikupendaye.... Pls come this way....
Mmh maharage ya mbeya wewe hata humuulizi anakuita uende wapi na kufanya nini?
Tell them all. No turn back. ODM for Kongosho. Deal signed, File closed...
Utafiti umethibitisha... Kongosho, will u marry me?
Awesome ..
Good match .. salute kwako ODM ..
Kongosho ushindwe tu mwenyewe..
ha ha ha ha
umenivunja mbavu Nitty
babu hawezi fanya lolote
mie mjukuu wake
afu ana jino moja kama pembe la faru
Aisee niambie kizizi chako umekipata wapi maana umempata kama unanawa vile
Utafiti umethibitisha... Kongosho, will u marry me?
thanks AD, babu kajinyakulia jukuu liloenda hewani, jeupe, kamwanya kwa mbalii.
mnong'onezo (kile kiserengeti nakihurumia kukimwaga, ila ndo basi tena)
Utafiti umethibitisha... Kongosho, will u marry me?
Hainaga mabega hata kama ni babu kibogoyo