Hahahahaha, Deskmate njo ujibu hapa tafadhali. lolesthehehe kumbee?? Atakuwa anawahi cha asubuhi tu huyu.
Atakuja tu... ila akija anaweza kuuliza ni kipi hasa kimekuangusha, bora uanze kupanga maneno yako.to be honest am ready to wait!yani am so down for her/him.
No I don't... Nitonye...You know my loosing password. At least I guess lol
hebu isome tena post yangu, ukinielewa basi I have a special extraordinary present for u and only u.
love language sound romantic when remain mystery
Hahahahaha, Deskmate njo ujibu hapa tafadhali. lolest
Atakuja tu... ila akija anaweza kuuliza ni kipi hasa kimekuangusha, bora uanze kupanga maneno yako.
Andaa na kashahiri, nadhani yuko sensitive kwa mistari ya kutulia... quality matters maana na yeye si mdogo.
Mbona unaitumia sana tu?No I don't... Nitonye...
wewe endelea kunichukia tu, but rule namba moja ya lugha ya mapenzi ni kutokuwekwa wazi.i hate it mysterious people funguka bana.
Lile lilikua shahiri la nguvu, mash'allah...kwenye shairi wala sina tabu nitacopy and paste ile ya klorokwini.
Natumia bila kujua Deskmate. Nikupe nchi?Mbona unaitumia sana tu?
Its of my benefit kama unaitumia bila kuijua. So usinipe nchi lolNatumia bila kujua Deskmte. Nikupe nchi?
:thinking:... ok!Its of my benefit kama unaitumia bila kuijua. So usinipe nchi lol
Its of my benefit kama unaitumia bila kuijua. So usinipe nchi lol
wewe endelea kunichukia tu, but rule namba moja ya lugha ya mapenzi ni kutokuwekwa wazi.
Lile lilikua shahiri la nguvu, mash'allah...
We kidonge kichungu hujambo?WL alikumiss bora umejitokeza
Hivi ilijulikana ilikua nani pale? maana nilitoka mapema kidogo kuanua nguo, mvua ilikua imetinga.lazime aingie line
Hivi ilijulikana ilikua nani pale? maana nilitoka mapema kidogo kuanua nguo, mvua ilikua imetinga.
Hivi ilijulikana ilikua nani pale? maana nilitoka mapema kidogo kuanua nguo, mvua ilikua imetinga.
Ilitinga tu, haikunyesha lakini. Itakua ni yule mama mchawi jirani yetu alitaka kutuma radi.lol kuna mvua wapi jamani mwali?au hauko nchi ya ******?
Ilitinga tu, haikunyesha lakini. Itakua ni yule mama mchawi jirani yetu alitaka kutuma radi.
vipi, Deskmate alimtaja alie muandikia shahiri?