Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,752
- 218,339
Hali ya corona kanda ya ziwa ni mbaya....
Hamjutii yaliyomkuta Charles Mbowe?Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kila mahali hivi sasa , na kwamba watoa mada ni miongoni mwa wazito kadhaa , idadi yao inatajwa kwamba huenda ikazidi wale waliojitokeza Dar es Salaam
View attachment 1853477
Tuepuke misongamano isiyokuwa na ulazima kama haya makongamano, tusingojee mpaka serikali itumie nguvu kutulinda !Corona ndio inazuia katiba???
Habari njema sana hii..Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kila mahali hivi sasa , na kwamba watoa mada ni miongoni mwa wazito kadhaa , idadi yao inatajwa kwamba huenda ikazidi wale waliojitokeza Dar es Salaam
View attachment 1853477
Kwenye kongamano la katiba kuna dawa hivyo usikose mke wangu.Hali ya corona kanda ya ziwa ni mbaya....
Safi saanaHii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kila mahali hivi sasa , na kwamba watoa mada ni miongoni mwa wazito kadhaa , idadi yao inatajwa kwamba huenda ikazidi wale waliojitokeza Dar es Salaam
MUHIMU : Wahudhuriaji wanaombwa kuzingatia mwongozo wa WHO wa kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona
View attachment 1853477
Acha matusi kamanda.Kwenye kongamano la katiba kuna dawa hivyo usikose mke wangu.
Lazima nihudhurie.Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kila mahali hivi sasa , na kwamba watoa mada ni miongoni mwa wazito kadhaa , idadi yao inatajwa kwamba huenda ikazidi wale waliojitokeza Dar es Salaam
MUHIMU : Wahudhuriaji wanaombwa kuzingatia mwongozo wa WHO wa kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona
View attachment 1853477
Suala si kusikika bali kusikika huko ku-translate into kura. Opposition ilisikika sana wakati wa utawala wa Kikwete. What happened 2010 na 2015?Mwaka 2025 hata bila katiba mpya CCM hawatafanya kosa la kuengua wapinzani wote wakabaki wao tu bungeni...
Acha matusi kamanda.
We fala pimbi mkubwa. Nani matagaa.?Mwambie huyo MATAGA mwenzio aache shobo za kijinga.
Kura ziliongezeka kutoka mil 2 za Slaa hadi milioni 6 za Lowassa.Suala si kusikika bali kusikika huko ku-translate into kura. Opposition ilisikika sana wakati wa utawala wa Kikwete. What happened 2010 na 2015?
Hey mkuu acha kujidhalilisha wewe ni mtu wa facts pls keep that way,waambie ccm wafanye kitu kimoja tu,wa level playing field then itisha uchaguzi mkuu next week uone nani ataibuka kidedea,kwa uozo huu wa kila kitu kimeelemea ccm unategemea nini?Suala si kusikika bali kusikika huko ku-translate into kura. Opposition ilisikika sana wakati wa utawala wa Kikwete. What happened 2010 na 2015?