Kongamano la Katiba Mpya kuendelea Mkoani Mwanza, vigogo kadhaa kutoa mada

Kiongozi mkuu2020

JF-Expert Member
Aug 8, 2020
1,748
2,000
Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kila mahali hivi sasa , na kwamba watoa mada ni miongoni mwa wazito kadhaa , idadi yao inatajwa kwamba huenda ikazidi wale waliojitokeza Dar es Salaam

MUHIMU : Wahudhuriaji wanaombwa kuzingatia mwongozo wa WHO wa kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona

View attachment 1853477
KATIBA YA WANAINCHI HAITATENGENEZWA NA VIGOGO WALA WANAHARAKATI WA CHADEMA, ISIPOKUWA ITATENGENEZWA NA WANANCHI WENYEWE. NYINYI ENEDELEENI NA VIKAO VYENU TUUU.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom