The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Alooh, sasa mtabaki na nani?
Alooh, sasa mtabaki na nani?
Mmeambiwa mfyatue tu yeye atasomesha. Hana habari na maambukizi ya magonjwa ya zinaa wala ukimwi. Fyatueni yeye atalea hata kama mkifa.Wakuu imekuwaje kondom zimekuwa adimu hivi? Nani anakwamisha haya mambo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonekana unawabadilisha mno wanapishana mlangoni duuuh hatari sana kwa afya yakokatika kitu ambacho nikikosa gheto hata za akiba nakosa raha ni condom..
mimi kavu kavu siendi hata kama nakupenda vipi.. nimejifunza kuwa selfish maishani.. hili gonjwa linatesa sana kunywa dawa zake... na bia haziruhusiwi kwenye dozi..
mimi navyopenda bia. nimeamua tu safety first
Unaonekana unawabadilisha mno wanapishana mlangoni duuuh hatari sana kwa afya yako
Kati ya tendo la ndoa na kondom kipi kilianza na kwa nn leo watoto wa mitaani ni wengi kuliko enzi za mababu zetu? Waliwezaje kupanga watoto wao bila hata ya hizo kondom? Mbona sasa licha ya hata ya uwepo wa kondom watu wameshindwa kupanga uzazi?swala sio wa kuwabadilisha.. swala ni usalama kwanza... hata akiwa mmoja.. hakuna sababu ya kwenda kavu kavu kama lengo sio kupata mtoto
Kati ya tendo la ndoa na kondom kipi kilianza na kwa nn leo watoto wa mitaani ni wengi kuliko enzi za mababu zetu? Waliwezaje kupanga watoto wao bila hata ya hizo kondom? Mbona sasa licha ya hata ya uwepo wa kondom watu wameshindwa kupanga uzazi?
Nadhani bado hujui ni wakati gani mwanamke anauwezo wa kushika mimba na upi hana uwezo kama kweli ni mtu unayeamini mke mmoja na mke akaamini hivyo kondom ni uchafu tu na ni mpango wa shetani kuhamazisha uzinzihao ndio wapuuzi.. hawajui umuhimu wa condom..
mimi naujua umuhimu wake ndio maana sili mzigo kavu kavu .. labda kama nataka tuzae mtoto.. na hapo tunapima kwanza kabla ya kavu kavu..
condom ina mazuri mengi kuliko mabaya
Mhhhh!Tatzo mcmu tu, wateja wapo na mfungo mtukufu. Vuta subila