Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,011
- 32,907
Wakuu Kuna jambo la hatari linatokea Kila nikiangalia namna Simba inaweza kushinda derby ya tarehe 25 .....ghafla usingizi mazito unanipata nashtuka kesho yake
Lakini Kila nikiiwazia Yanga .,...mambo yanakuwa mwake sana na unaonekana Yanga kushinda 3+
Sababu za takwimu kuikataa Simba
Low morale.....Simba kuelekea derby hii wapo kinyonge sana even if Mashabiki zao wamepoa sana
Mivurugano: Hadi saizi Kunaashabiki wanabishana ....kama watacheza wengine wanasema hawachezi...no commitment btn these 2 figures
NB: Naskia pia miezi hii mbuzi zimeadimika sana kitaa
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app