Kondomu zimeadimika sana, tatito nini?

Kondomu zimeadimika sana, tatito nini?

katika kitu ambacho nikikosa gheto hata za akiba nakosa raha ni condom..

mimi kavu kavu siendi hata kama nakupenda vipi.. nimejifunza kuwa selfish maishani.. hili gonjwa linatesa sana kunywa dawa zake... na bia haziruhusiwi kwenye dozi..

mimi navyopenda bia. nimeamua tu safety first
Unawezaupata kwa njia nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakupenda my Detal maana niko salama muda wote
 
katika kitu ambacho nikikosa gheto hata za akiba nakosa raha ni condom..

mimi kavu kavu siendi hata kama nakupenda vipi.. nimejifunza kuwa selfish maishani.. hili gonjwa linatesa sana kunywa dawa zake... na bia haziruhusiwi kwenye dozi..

mimi navyopenda bia. nimeamua tu safety first
Safi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom