Kondom imechanika wakati wa tendo la ndoa

Kondom imechanika wakati wa tendo la ndoa

bora hii thread nimeiona leo, ningeona jana usiku ungenitambua, pambaaaaafffffff mnatafutaje mtoto huku mkiwa mmevaa condom
 
Hamkuwa mnafanya tendo la ndoa, mlikuwa mnazini. Halafu story yako ya kuchangamsha jamvi maana ina makosa mengi ya kiutendaji kama tukio la Tanga

Ama kweli Nyani haoni kundule ina maana wewe ni Malaika hujawahi kuzini?
 
bora hii thread nimeiona leo, ningeona jana usiku ungenitambua, pambaaaaafffffff mnatafutaje mtoto huku mkiwa mmevaa condom

Tatizo lako ccm imekubemenda akili kwa mikataba feki kwahiyo kila kitu kwako ni feki na umekuwa mgumu wa kuelewa.Kwa mfano Yanga wakisema tuko kwenye zoezi la mechi ina maana hiyo ni mechi? Tulikuwa kwenye zoezi na sio kutafuta na ndio maana tukavaa condom.Umeelewa?
 
Tatizo lako ccm imekubemenda akili kwa mikataba feki kwahiyo kila kitu kwako ni feki na umekuwa mgumu wa kuelewa.Kwa mfano Yanga wakisema tuko kwenye zoezi la mechi ina maana hiyo ni mechi? Tulikuwa kwenye zoezi na sio kutafuta na ndio maana tukavaa condom.Umeelewa?
anza kumeza mbaazi za kurefusha maisha
 
huo UKIMWI haujaingia mwilini bado hivyo unaweza ukalikata dushe tu
halafu chunga wanawake wengine huku chini wana viwembe uwe unaingiza kwanza mikono
 
huo UKIMWI haujaingia mwilini bado hivyo unaweza ukalikata dushe tu
halafu chunga wanawake wengine huku chini wana viwembe uwe unaingiza kwanza mikono

Haya nipe huyo dada yako mwenye kiwembe kwenye papuchi ili uwe shemeji yangu.
 
Anhaaa kumbe ilikuwa tizi tu...lakin mtoto had wakioana...bas sawa....so mkapime tu km hamuaminiani mkijikuta mnao..mue mnagongana wnyewe tu asee!!
 
Nendeni mkapime. Ikiwa mmoja wenu ni muathirika, bado kuna nafasi ya kuepuka Ukimwi japo muda si mwingi.
Ambaye hajaathirika kuna sindano anaweza kuchomwa ili asiambukizwe. Sindano hiyo inatakiwa kuchomwa ndani ya masaa 72 toka mlipokuwa mnangonoka.
 
Wana MMU.

Hapa nilipo saa tano hii mchumba wangu kachana condom ndani ya papuchi wakati tukiwa katika zoezi la kutafuta mtoto nina wasiwasi kweli kwa maana tulipima mara ya kwanza ila bado kurudia.

Jamani naweza kufa nini. Alafu ilivyochanika sikushika breki nikamalizia safari,wakuu nifanyeje kwa maana usingizi umepotea kabisa.

Sijui nimeupata sijui sijaupata.


Wewe Una UUME au TOFALI Hapo Sehemu Zako Za Siri? Hadi Condom Inapasuka! Mkuu Hongera Sana Kwa Kuwa Na TOFALI.
 
we malaya mzoefu,acha blaa blaa tuh.unastail.
 
nimepiga moja tu na nilivyostuka papuchi imepasua condom nikakanda dushe na maji ya moto na kuiosha na mafuta taa ili wadudu wafe endapo wapo na nimekunywa maji kibao ili wakiingia huko niwakojoe.

Teh Teh siamini kama kuna kijana wa karne hii anaweza kuamini njia ulizo zisema zinaweza kumzuia na maambukizi ya virusi vya Ukimwi! Aisee pole pole sana na kushauri kuanzia leo uanze kupitia majarida yanayo elekeza na kutoa elimu kuhusu HIV/AIDS! Hakika elimu ya HIV/AIDS ina hitajika sana!
Kwanza unacho takiwa kujua ni kwamba kama binti huyo ana virusi vya ukimwi na kondom ilipasuka basi uwezekano wa wewe kuwa umepata maambukizi ni 99.9%.
Yani kitendo cha wewe kuingiza uume kwenye uke na kondom ikapasuka basi maambukizi umeyapata kama binti ana virusi maana majimaji ya uke yana beba virusi na ncha ya uume au mdomo wa uume ni mlango wa kupitisha virusi!
Hivyo na kushauri uende ukapime maana siku hizi mtu mwenye virusi vipimo vilivyopo vinaweza kumgundua siku hiyo hiyo!

Na nilicho gundua kwenye hili swala lako ni wazi huyu msichana huna imani nae kabisa na unajua ulimpata kwenye mazingira gani lakini uliamua ku take risk maana ulijua utatumia condom!
Pia kulingana na maelezo yako ni vigumu mtu kuamini kama ni kweli mlipima maana pressure unayo ionesha haiendani na mtu aliyepima mara ya kwanza!huna hata chembe za mtu aliye wai kupima.

Kuhusu swala la mazoezi ya kutafuta mtoto hukutakiwa kuandika hivyo maana hatutegemei mazoezi ya kutafuta mtoto yafanywe na condom.Mazoezi unayo yaongelea hapa ni mazoezi ya ngono... na hii inaongeza chance ya kuonesha kuwa kuna uwezekano mkubwa condom haikuwepo eneo la tukio lakini kwa kuwa lengo halikuwa kuonesha condom haikuwepo umejikuta unajichanganya maana wanasema muda mwingine ukitaka kupata ukweli wa mtu muulize maswali akiwa na ana pressure maana anakosa muda wa kutengeneza uongo.

Na kushauri ukapime na ukisha pima tafuta muda upitie majarida yanayo husu ukimwi na virusi vya Ukimwi ili usiendelee kijidanganya na kudanganya wengine!
 
Back
Top Bottom