Kondom imechanika wakati wa tendo la ndoa

Kondom imechanika wakati wa tendo la ndoa

Teh Teh siamini kama kuna kijana wa karne hii anaweza kuamini njia ulizo zisema zinaweza kumzuia na maambukizi ya virusi vya Ukimwi! Aisee pole pole sana na kushauri kuanzia leo uanze kupitia majarida yanayo elekeza na kutoa elimu kuhusu HIV/AIDS! Hakika elimu ya HIV/AIDS ina hitajika sana!
Kwanza unacho takiwa kujua ni kwamba kama binti huyo ana virusi vya ukimwi na kondom ilipasuka basi uwezekano wa wewe kuwa umepata maambukizi ni 99.9%.
Yani kitendo cha wewe kuingiza uume kwenye uke na kondom ikapasuka basi maambukizi umeyapata kama binti ana virusi maana majimaji ya uke yana beba virusi na ncha ya uume au mdomo wa uume ni mlango wa kupitisha virusi!
Hivyo na kushauri uende ukapime maana siku hizi mtu mwenye virusi vipimo vilivyopo vinaweza kumgundua siku hiyo hiyo!

Na nilicho gundua kwenye hili swala lako ni wazi huyu msichana huna imani nae kabisa na unajua ulimpata kwenye mazingira gani lakini uliamua ku take risk maana ulijua utatumia condom!
Pia kulingana na maelezo yako ni vigumu mtu kuamini kama ni kweli mlipima maana pressure unayo ionesha haiendani na mtu aliyepima mara ya kwanza!huna hata chembe za mtu aliye wai kupima.

Kuhusu swala la mazoezi ya kutafuta mtoto hukutakiwa kuandika hivyo maana hatutegemei mazoezi ya kutafuta mtoto yafanywe na condom.Mazoezi unayo yaongelea hapa ni mazoezi ya ngono... na hii inaongeza chance ya kuonesha kuwa kuna uwezekano mkubwa condom haikuwepo eneo la tukio lakini kwa kuwa lengo halikuwa kuonesha condom haikuwepo umejikuta unajichanganya maana wanasema muda mwingine ukitaka kupata ukweli wa mtu muulize maswali akiwa na ana pressure maana anakosa muda wa kutengeneza uongo.

Na kushauri ukapime na ukisha pima tafuta muda upitie majarida yanayo husu ukimwi na virusi vya Ukimwi ili usiendelee kijidanganya na kudanganya wengine!

mkuu huyu dada tulishapima ila ilikuwa bado kurudia.
 
Ulitaka kuweka mtoto kwa njia ya artificial insemination??
 
Yaani una tafuta mtoto huku umevaa kondomu.....labda sijaelewa vizuri
 
Wana MMU.

Hapa nilipo saa tano hii mchumba wangu kachana condom ndani ya papuchi wakati tukiwa katika zoezi la kutafuta mtoto.

sasa wasiwasi wa nn na wakati ulikuwa kwenye zoezi la kutafuta mtoto??haikuwa na haja ya ndom
 
Mbona Km Amtoa Mada Amechanganya Asprin Na Panadol.Anatafut Mtto Uku Amevaa Kondomu.Inapasuka Analia..Dah! Cjui Ht Tumsaidieje.
 
Mbona Km Amtoa Mada Amechanganya Asprin Na Panadol.Anatafut Mtto Uku Amevaa Kondomu.Inapasuka Analia..Dah! Cjui Ht Tumsaidieje.

Tatizo lako ni uelewa tu mkuu.Kwa mfano yanga wakisema tuko mazoezini kwa ajili ya mechi ina maana hiyo ni mechi? Tuko kwenye zoezi ila sio kutafuta mtoto,umeelewa?
 
Wana MMU.

Hapa nilipo saa tano hii mchumba wangu kachana condom ndani ya papuchi wakati tukiwa katika zoezi la kutafuta mtoto.

sasa wasiwasi wa nn na wakati ulikuwa kwenye zoezi la kutafuta mtoto??haikuwa na haja ya ndom


kufanya zoezi si kutafuta ningekuwa natafuta nisingevaa du watanzania sisi ni wagumu kweli kuelewa na ndio maana tuna div.5.
 
Uliyekuwa naye naye analia balaa.Kauliza swali hili hili, sema yeye anasema we ndo ulipasua.So kaeni muelewane.We mwenyewe unajua mtaa mzima wanakunyooshea vidole.
 
Uliyekuwa naye naye analia balaa.
Kauliza swali hili hili, sema yeye anasema we ndo ulipasua.
So kaeni muelewane.
We mwenyewe unajua mtaa mzima wanakunyooshea vidole.

wewe ndio mtaa wako wanakunyoshea kidole.
 
Back
Top Bottom