Swali zuri sana. Zamani ADC walitoka Jeshini. Hiyo ni kabla hatujawa na PSU lakini Kwa sasa si lazima kutoka Jeshini maana kozi pekee ya PSU ni kulinda viongozi ngazi ya Taifa si mipaka ya nchi. Ila Mizengo alitoka Jeshini lkn akiwa na mafunzo ya PSU tayari from Hungary.