Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,694
- 3,982
Kwa taarifa yako Orlando kabakia jina tu.Atacheza na Orlando Pirates, mechi moja Dar na nyingine South Afrika.
Then atarudi kutafuta nafasi ya pili katika Ligi Kuu maana ya Yanga hili Kombe mwaka huu ni letu. Hilo halina mpinzan...
NdiyoKwahio bila kufanya hujma anaweza kupita
Jipe moyo.... Umewasahau wale waliokuja kuwa zuia CAF hapa Dar. Wakawafunga na kufanya iwe draw mkatoka na kwenda shirikisho.Kwa taarifa yako Orlando kabakia jina tu.
#NguvuMoja
kwani yanga mashindano yote ya kimataifa alicheza mechi ngapi.Atacheza na Orlando Pirates, mechi moja Dar na nyingine South Afrika.
Then atarudi kutafuta nafasi ya pili katika Ligi Kuu maana ya Yanga hili Kombe mwaka huu ni letu. Hilo halina mpinzani.
Nasema hivi. SIMBA HAWAVUKI ORLANDO PIRATES. PIGA UA. HILI WATAALAMU WAMELIFANYIA KAZI MAPEMA. Ile match ya last week kuna uzembe ulitokea ndo poneaponea ya Simba. Sasa tumeanza ku-deal na Dimba la Mkapa. Na hawa Orlando si wabishi kama wale wapuuzi wengine waliofungwa nne.
PIGA UA GARAGAZA MATCHES MBILI TU KATIKA ROBO FAINALI. THEN JAMAA WANARUDI KUSUMBUANA NA RUVU SHOOTING NA MBEYA KWANZA.
Aisee....! Mbili tu Kama vile UT0P0L0 Ilivyokuwa Kwa Rivers...! Dah Sheikh Yahaya Katuachia Warithi Mabomu Hawa ni wapiga Ramli...!Atacheza na Orlando Pirates, mechi moja Dar na nyingine South Afrika.
Then atarudi kutafuta nafasi ya pili katika Ligi Kuu maana ya Yanga hili Kombe mwaka huu ni letu. Hilo halina mpinzani.
Nasema hivi. SIMBA HAWAVUKI ORLANDO PIRATES. PIGA UA. HILI WATAALAMU WAMELIFANYIA KAZI MAPEMA. Ile match ya last week kuna uzembe ulitokea ndo poneaponea ya Simba. Sasa tumeanza ku-deal na Dimba la Mkapa. Na hawa Orlando si wabishi kama wale wapuuzi wengine waliofungwa nne.
PIGA UA GARAGAZA MATCHES MBILI TU KATIKA ROBO FAINALI. THEN JAMAA WANARUDI KUSUMBUANA NA RUVU SHOOTING NA MBEYA KWANZA.
Wakati huo Simba anacheza mechi mbili, Yanga atakuwa anacheza mechi ya ngapi? πππAtacheza na Orlando Pirates, mechi moja Dar na nyingine South Afrika.
Nlianza juzi nikapita kwa Maalim wangu Temeke. Akaangalia. Akasema Simba inapigwa leo ikijitahidi Draw ambayo haitaisaidia kitu.
Leo nimeenda kwa Sheikh wangu Juma ilala Bungoni. Majibu ni yale yale. Nikamwomba Mzee wangu Chande wa Tandale aniangalizie akanambia mi natakaje nikamwambia jamaa wapigwe. Kanambia nimtumie tsh 200,000 na majina ya wachezaji na bench la ufundi la Simba. Nimemtumia.
Nasema hivi. SIMBA HAWAVUKI ORLANDO PIRATES. PIGA UA. HILI WATAALAMU WAMELIFANYIA KAZI MAPEMA.
Ban kweli ulipigwa, na tuliweka ushahidi hapa. Lakini hujatuonyesha kapicha wakati unatembea bila viatu πππMatokeo yakiwa Tofauti nipigwe Ban ya week moja. Na pia nitatembea bila viatu kwa siku moja.
Dah kumbe ndiyo huyu mwamba aliyesema Simba inafungwa na USGN amijitahidi sare kutokana na majibu ya waganga wakeLeo umeambiwa utume shilingi ngapi kwa mganga wako wa kienyeji?
ndiye huyo huyo, hapo ana hasira na vitu vinne:Dah kumbe ndiyo huyu mwamba aliyesema Simba inafungwa na USGN amijitahidi sare kutokana na majibu ya waganga wake
Si kweli. Kuna matches nyingi tu wameshinda bao moja. Rejea na Berkane pia.Simba kwenye mechi za kimataifa kwa Mkapa huwa wana magoli mawili ya uhakika,yani hayo uwa yapo tu fixed.
Kwaiyo puyanga maneno huku ukilijua hilo.
Ban haiwezi nipa hasira..sometimes huwa naitafuta tu. Pesa yangu inaniuma sababu tu ya uzembe flani. Ila this time hakutakuwa na makosa....ndiye huyo huyo, hapo ana hasira na vitu vinne:
1. Simba (iliyopata matokeo tofauti na waganga waliomlia hela walivyomwambia)
2. Mods (waliompiga ban)
3. Waganga (waliomlia sh. laki mbili zake, alisema ameshatuma kwa ile namba)
4. Viatu (alivyolazimika kuacha kuvivaa kwa siku moja)