Komando wa kike Jeshini

Komando wa kike Jeshini

wakuu sidhani kama wanawake wanaweza kuwa makomando??? ni kazi ngumu sana saaanaaa...sidhani... ni kuwaonea tu...wanaume tu, si wote wanaoweza kuwa wapiganaji let alone majemadari?? ndio wanawake?? tafadhalini mama zetu, tunawaheshimu na kuwapenda sana lakini kwa hili mtusamehe tu...doh..

Tetete bado huamimi wanawake tunaweza jamani bila hata ya kuwasamehe tunaweza. Na ukimkuta mwanamke komandoo mama yangu kaa mbali atakuwa hatareeeee.
Kama alivyo vizuri ktk kupenda basi na kuchukia na kufanya mauaji ni hvyhvy
 
Hivi hawa akina Cynthia Rothroc na Catwoman siyo commandoos kweli hao, au ni kwenye movie tu?

Wakina anjelina jolie na wakina nikita ni movie tu mkuu.
Ila kule korea nadhani wanaweza kweli maana ni sehemu ya tamaduni zao japo sina hakika
 
Ananilea Nkya, Hellen Kijombi Simba na Ussu Malya Hawa Ndiyo Makomandoo Pekee Wa Tanzania Waliohitimu Mafunzo Yao ktk Vyuo Vya Kuratibu Migomo Ya Kijinga na Ya Kutaka Sifa na Umaarufu..........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hawa wamama wanamisimamo balaa
 
Tetete bado huamimi wanawake tunaweza jamani bila hata ya kuwasamehe tunaweza. Na ukimkuta mwanamke komandoo mama yangu kaa mbali atakuwa hatareeeee.
Kama alivyo vizuri ktk kupenda basi na kuchukia na kufanya mauaji ni hvyhvy
I misquoted the quote but this is what i intended to reply
 
Wanawake wanaovunja matofali hata katika jeshi la polisi wapo. Kuna tofauti kati ya kuvunja matofali na kuwa komandoo. Komandoo miongoni mwa shughuli zake ni kutangulia mbele ya front line, wana pashwa kufanya mambo mengi sana ya kugharimu maisha hasa pale wanapotekwa. Wangelikuwepo makomandoo wanawake, wakitekwa hali ingelikuwa mbaya zaidi. Hii ni moja ya sababu duniani hakuna komandoos wanawake. Kuna wanaweke wana uwezo mkubwa lakini wa kujilinda na kulinda. Gaddafi alitumia sana walinzi wanajeshi wanawake. Ni swali zuri kwani kuna la kujifunza hapa.
 
I misquoted the quote but this is what i intended to reply

Ok.sasa umetishika vp ndugu yangu. What I said is true. Wanawake ni hatari sana sasa pata picha akipata mafunzo hayo itakuwaje. Mimi mwenyewe ni hatari sana najua kupenda sana na kuchukia at the same percentage
 
Jesh lenye ufanisi mkubwa africa mashariki,jesh linaongoza opareshen nying africa,jesh liloshirik kukomboa nnch nying africa,siaamin kwa jinsi inavyoshirik harakat mbal mbal huko nnje wanaweza wakawa wana muda wa kuwaza kuvunja matofali,naiman watakuwa na kitu tofauti,hasa zama hizi ambazo majesh mengne yanarusha ndege za vita bila ruban,sidhan kama tutashudia scene hata moja ya matofali

Makomandoo kuvunja matofali hadharani ni psychological warfare to the enemies of the state!
 
Ok.sasa umetishika vp ndugu yangu. What I said is true. Wanawake ni hatari sana sasa pata picha akipata mafunzo hayo itakuwaje. Mimi mwenyewe ni hatari sana najua kupenda sana na kuchukia at the same percentage

Hapo ndipo palipo nitisha..
 
Hapo ndipo palipo nitisha..

Tetete bado hujasema umetishwa na nini? Tena natamani ningekuwa komandoo au assasin fulani hv. Yani natamani sana ningekuwa na highest level of martial art skills na all kind of killing machines .ningekuwa sniper fulani hv yani ningewadungua wanaostahili kudunguliwa bila huruma
 
,mpnz/mume akiniudhi sioni shida kukata uume wake na kuubanika!ndio ukomando wenyewe atiii!
 
Tetete bado hujasema umetishwa na nini? Tena natamani ningekuwa komandoo au assasin fulani hv. Yani natamani sana ningekuwa na highest level of martial art skills na all kind of killing machines .ningekuwa sniper fulani hv yani ningewadungua wanaostahili kudunguliwa bila huruma
Mkuu bado unaendelea kunitisha hapa na bandiko hili limenifanya nizidi kutetemeka , by this post i can tell that you have a type A personality ambayo ni tabia walizonazo watu hawa tunaowajadili...kukusaidia kujenga uelewa wa hawa mabwana kujua ni watu wa aina gani..Kuna kitabu kizuri sana kinaitwa Commandos: The Making of America's secrets, mwandishi akiwa Douglas Waller, kimeelezea mafunzo, maisha ya kambi, missions pamoja na maisha ya kawaida ya makomando wa kimarekani, ni kitabu kizuri, kitafute mkuu
 
Asante mkuu. For sure I am indeed a type A person. And am proud of it.
 
Mkuu bado unaendelea kunitisha hapa na bandiko hili limenifanya nizidi kutetemeka , by this post i can tell that you have a type A personality ambayo ni tabia walizonazo watu hawa tunaowajadili...kukusaidia kujenga uelewa wa hawa mabwana kujua ni watu wa aina gani..Kuna kitabu kizuri sana kinaitwa Commandos: The Making of America's secrets, mwandishi akiwa Douglas Waller, kimeelezea mafunzo, maisha ya kambi, missions pamoja na maisha ya kawaida ya makomando wa kimarekani, ni kitabu kizuri, kitafute mkuu

Nitajitahidi kukitafuta sasa nianzie wapi kutafuta book shop au mtandaoni?
 
Back
Top Bottom