Komando kitambi umeuthibitishia umma obesity haiathiri performance

Komando kitambi umeuthibitishia umma obesity haiathiri performance

Museven aliwapa miezi miwili polisi na wanajeshi kuondoa vitambi vyao kwa namna yoyote wakishindwa wanakuwa wamejiondoa wenyewe kwenye majeshi yao kwa kukosa sifa ya kuwa sojaz.

Ilikuwa kivumbi pale Uganda.
 
Naona Chama cha Wenye Vitambi Tanzanian - CHAWEVITA leo mmeamua kujifariji... Acheni kujidanganya nundu Ni ugonjwa fanyeni mazoezi Na Kula kwa discipline hizo nundu mzitoe.

Wakati ungine yaani unaweza cheka unakutana Na mwanaume anabonge la nundu wapo Na mke wake. Mke wake mavidonge ya uzazi WA mpango yamemfutua ukichanganya Na ulaji WA hovyo yaani kafula vimatako vimeingia ndani ukiwatazama utafikiri wahindi.. Yaani burudani tosha
 
Yaani wa TZ wako nyuma sana upuuzi na michezo ya kitoto eti makomandoo imekuwa ni sifa. Kwa wenzetu ile ni michezo ya watoto. Wacheni hizo
Acha kutukana watz kisa wazungu wewe, kila kitu wenzetu. Kwani wao ndo nanii
 
Museven aliwapa miezi miwili polisi na wanajeshi kuondoa vitambi vyao kwa namna yoyote wakishindwa wanakuwa wamejiondoa wenyewe kwenye majeshi yao kwa kukosa sifa ya kuwa sojaz.

Ilikuwa kivumbi pale Uganda.
Ilikua lini hii bro?
 
Ondoeni vitambi hivyo msijifariji.
Mimi changu kimeisha bila ya kufanya mazoezi nimeacha kunywa soda,bia,nyama nyekundu na kupunguza kiasi cha mlo.
Toeni vitambi ni ugonjwa na hatari kwa afya na usalama wa ndoa.
Mwanamme bila kitambi inawezekana.
 
We jipe moyo, kuna vitambi vya asili na vitambi michemsho. Sasa chako sijui ni cha aina gani?
 
Madem wengi siku hizi wanapenda vitambi kwakuwa kwanza ningharama kumwnteni,kuvinyoa pia,na unapewa heshma yako tofauti na vimbao mbao lakini pia kwenye show inasaidia maana liuzito la kitambi linasaidia mashine kuzamishwa vizuri kunako
 
Katika kitu ambacho niliki note siku ya maazimisho ya miaka 55 ya uhuru ni speed ,power ,performance, accuracy na ukomavu mwili wa yule komando mtu mzima kidogo mwenye kitambi !!

Ama kweli ameuthibishia na ku prove wrong walimwengu kuwa kitambi kinapunguza performance ya masuala yanayotumia nguvu na pumzi ,nina uhakika hata kwenye masuala yetu yale ya 6×6 sio sababu ya kupiga cha fasta na kutokurudia labda kuwe na sababu tu zingine

Au wadau mnasemaje[emoji12]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kitambi sio hoja kabisa kama unakimudu tatizo ni vitambi manyama uzembe na kupenda kula vyakula nyoronyoro
 
Kweli aiseee.

Kuna mahali niliwahi kusoma kuwa moja ya kazi za kitambi kwa mwanaume rijali ni kuhifadhi pia nguvu za ziada kwa ajili ya kugegedana in case nguvu za kawaida ziko depleted.

Kitambi ni asset muhimu ya kulinda kama mboni ya jicho.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitambi ni asseti muhimu kabisa, tafuta picha ya faru john mbona alikuwa na kitambi ila shughuli yake ikawa ni hatari sana
 
Madem wengi siku hizi wanapenda vitambi kwakuwa kwanza ningharama kumwnteni,kuvinyoa pia,na unapewa heshma yako tofauti na vimbao mbao lakini pia kwenye show inasaidia maana liuzito la kitambi linasaidia mashine kuzamishwa vizuri kunako
Kama hiki changu eti!!
 
Yaani wa TZ wako nyuma sana upuuzi na michezo ya kitoto eti makomandoo imekuwa ni sifa. Kwa wenzetu ile ni michezo ya watoto. Wacheni hizo
Acha uongo wenzenu wapi? Exposure tu huna kwa namna ulivyoandika ndio kwa wenzako wapi huko! Acha dharau....
 
Back
Top Bottom