Kokunyegeza bishanga

Kokunyegeza bishanga

Last edited by a moderator:
Hapa ndio niko kwenye hatua za mwisho... Nishakuingiza kuanzia miguuni nashangaa mabega yanakwama lol. Bado sikati tamaa!

Labda miguu ya Filipo hayo........ siyo mimi hebu angalia vizuri
 
Last edited by a moderator:
Sasa unabisha nini wakati miguu yako mie naijua?

Mwulize Lily Flower akuambie miguu yangu hahaaaaa............. mwishowe utasema hata kinani changu unakijua wakati hata kwenye tv hujaiona
 
Last edited by a moderator:
Mwulize Lily Flower akuambie miguu yangu hahaaaaa............. mwishowe utasema hata kinani changu unakijua wakati hata kwenye tv hujaiona
Navijua vitu vingi kwako Mungi nikiamua kusema hapa ni uzi unaojitegemea lol!
 
Last edited by a moderator:
Navijua vitu vingi kwako Mungi nikiamua kusema hapa ni uzi unaojitegemea lol!

Hahaaaaaaaaa we endelea........... bado kidogo tu nikuite lile jina alilolisema Filipo kuwa nalitumia kukuita
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom