Sana,bar yangu kubwa kwa mjini ilikuwa ile opposite na immigration office zamani pale jiji,Florida pub nayo sjui kama ipo au laa ukitoka hapo Labda uende NBC club kupiga vituIla ukiwa kule roof top ndio uta appreciate skyline ya Dar. Kuna amazing view
Sema kuna lounge moja matata sana walifungua iko pale crdb head office sea view ufunguzi kuna boss moja pale namjuwa alinialika aise jamaa ndani wamepatendea haki environment bei zao poa kabisa siku ile nlipiga vitu sana wana lounge matata sana mule aiseIla ukiwa kule roof top ndio uta appreciate skyline ya Dar. Kuna amazing view
Open space nyingi zimeuzwa aiseMbagala Rangi 3
Uwanja wa Natal uliomtoa staa mkubwa wa Nchi Mbwana Samatta kiliuzwa kikatengenezwa kiwanda cha rasta,,,viwanja vyote mbagala vimetengenezwa either soko au kiwanda..ni kweli tunataka maendeleo lakini leo watoto hawana pa kucheza hakuna kiwanja kilichosalia
Na mmemruhusu!!Mzenji anavyo uza Tanganyika kwa Kasi ya 360.
KAZI ni kipimo cha utu
Meya fulani ana tamaa sana najuwa mipango yt iko chini yakePako full mijengo na biashara lukuki
Wahuni watalipwa sawasawa matendo yao.Na si ajabu ndani ya mwezi ujao ukaambiwa COCO BEACH imewaka moto usiku! Maana ajali za moto maeneo kama hayo siku hizi ni kawaida sana
Biafra kauziwa mtu kaweka showroom. Hii nchi ina mambo ya kipumbavu sana.Open space nyingi zimeuzwa aise
Ile ya biafra nmeambiwa sahv watu hawana sehemu ya kucheza mpira nmeshanga sana
Ova
Hapo unalipia hadi upepo mkuu.Hahaha ume nikumbusha Chai na half cake 2 elfu 14, nika mwambia mwenyeji tusepe.
Chai na vitumbua 10, 4000
Wapuz sana uwanja huo wameupora tu wameufanya waoBiafra kauziwa mtu kaweka showroom. Hii nchi ina mambo ya kipumbavu sana.
Pale jeshini Mbagala GSM kapachukua kaweka Yard yake kumbuka lile ni eneo nyeti la jeshiOpen space nyingi zimeuzwa aise
Ile ya biafra nmeambiwa sahv watu hawana sehemu ya kucheza mpira nmeshanga sana
Ova
AisePale jeshini Mbagala GSM kapachukua kaweka Yard yake kumbuka lile ni eneo nyeti la jeshi
Copa pia nimefika ni balaa naifananisha na Durban beach kwa Afrika wenzetu wamejifungia ndani wakati Durban wanatangaza wanataka iwe beach bora zaidi ya pale sisi tunauza sehemu nzuri za kufanyia mazoezi kwa kweli Durban ni sehemu sahihi sana na napokua huko na enjoy sana hata hapo Suncoast ni hatari na nusu..Katika Beach ambayo nlibahatika kwenda,kula burdan na huwa siisahau ni copacabana,Brazil alafu ile ni free beach tu na watu wamefanya uwekezaji kimpangilio
Beach za Durban si umeziona nazo kuna ile Golden sand 😄
Mambo ya ushaka Beach
Hawa viongozi wetu watembe wakajifunze wapate idea
Ova