Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,176
- 162,644
- Thread starter
- #81
Kama ni comment tu leo kazipata za kutosha!vp umemaliza siku zako? kama una hamu ya kukatwa msubiri mchemba.
Nahisi yeye kujiunga JF kaingia choo cha kiume!
Kama ni comment tu leo kazipata za kutosha!vp umemaliza siku zako? kama una hamu ya kukatwa msubiri mchemba.
Watu wengi wakuota wewe (nightmares)
watu wengine wanachekesha kweli PAYE really???hivi watu wangapi wameajiriwa mpaka PAYE iwe big deal kwa takwimu tu za kawaida most people in tanzania are either at xul or jobless and some are not into working a.k.a jobless bt no regrets....and very very very few employed and self employed so kodi ya sim card ni too much and for what???dis country has failed to manage vast of resources it has why adding other money even kwny sheria za uchumi hauwezi taka kuongezewa mtaji kama hata ulichonacho ujakifanyia lolote???Mbona mnalipa kodi nyingine nyingi.
Badala ya kulalamikia PAYE ishuke mnalalamikia tozo la simu.
Hongera serikali kwa kutokukubali kuyumbishwa na wanasiasa.
...sijawahi kuona mwanamke mnafki kama wewe...? ungekuwa karibu ningekunasa kibao..
Mamlaka ya mapato nchini(TRA) imeandika waraka kwenda kwa makampuni ya simu nchini kuagiza kuanza utekelezaji wa kukata kodi ya laini ya simu.Kodi hiyo ni kuanzia July 30 mpaka september mwaka huu.Hii ina maana kwamba kila mtumiaji atakatwa sh 3000 ikiwa ni kodi ya mwezi July,August na September.Kwa maana hiyo mwenye laini mbili atakatwa sh 6000 na mwenye laini tatu atakatwa sh 9000.
Na katika hatua nyingine wateja milioni 8 simu zao kufungwa.
Kwa taarifa zaidi soma gazeti la Tanzania Daima
CHANZO:TANZANIA DAIMA ONLINE
MY TAKE:
Hii inaweza kuwa ni mbinu ya kuhamisha "attention" ya watu kutoka kwenye issue ya katiba na kutupeleka kwenye issue ya tozo za line za simu!
Tafakari na kisha chukua hatua!
Nimehangaika kusoma thread kumbe source ni jarida la udaku wa kisiasa?
Anyway najisikia fahari kuchangia pato la nchi kwa maendeleo ya nchi yangu
Naomba kukatwa kuanzia mwezi wa kwanza mwaka huu.
Nawasilisha.
Shilingi 1000 kwa mwezi ni sawa na shilingi 33 kwa siku.
Mbona caller tunes Mnalipia zaidi ya shilingi 30 kwa siku + 360..
kwa makampuni ambayo hayalipi kodi (Push mobile) na hamlalamiki!!!!?.
Swali tu!