pixel
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 1,630
- 406
Nimehangaika kusoma thread kumbe source ni jarida la udaku wa kisiasa?
Anyway najisikia fahari kuchangia pato la nchi kwa maendeleo ya nchi yangu
Naomba kukatwa kuanzia mwezi wa kwanza mwaka huu.
Nawasilisha.
we binti nilikua sijapata nafasi ya kutambua fikra zako.haupo huru kifikra na unatangatanga,itaku-cost sana ktk siasa za kutumiwa na watu.kimsingi watanzania wote wanapenda kuichangia nchi yao hata kwa pesa nyingi zaidi ya hiyo elfu 1 lakini sio kwa FLAT RATE.kwa vipato vya wabunge,mawaziri,makatibu wakuu,wanasiasa na mabilionea kulipa sawa na mbeba zege,mmachinga,fundi cherehani,muuza vocha kibandani,mkulima wa kijijini na watu wengine wavipato vya chini SIO SAWA.Binti hebu fikiria kua shule za kata ada ni elfu 20 kwa mwaka,mwezi wa 1-6 mzazi anatakiwa kulipa elfu 10,mwezi wa 6-12 mzazi/mlezi anatakiwa alipe elfu 10 lakini WANASHINDWA.
Nakusihi uwe makini kutafakari mambo yanayohusu Taifa letu,achana na mambo ya vyama linapotokea jambo au neno TANZANIA.
inayobaki.lakini wazazi/walezi wengi WANASHINDWA.