Kodi ya SimCard sasa kuanza mara moja!

Kodi ya SimCard sasa kuanza mara moja!

Jamani nyie uyo bnt hamjamuelewa yaan anamaanisha akupigae shav la kushoto mgeuzie na la kulia mtu akikuambia kimbia mail moja we nenda mbili KWA KWELI SEREKALI SASA INATAKA INCH ICHAFUKE MAKUSUDI
 
20,000,000*tzs 32= 640,000,000. esabu haitaji blabla aaaaaaaaaaaaa

Sijafahamu unataka sema nini hapa....mimi nasema km kila line ni Tsh.1000 /= mara 20,000,000/= ni 20bn..pengine nilipokosea ni kuandika kwa siku na si kwa Mwezi. kwa siku ni (1000 x 20,000,000)/30=666,666,666.667 kwa siku.

Bado ni hela inayowatosha CCM kuitumia kutuua huku wakitumia hela yetu..tena hata hela ya wapinzani.
 
Uchaguzi ni hivi punde tu.Hatuna pesa ya kuwapa watu takrima. Unategemea tuipate wapi? Kama tumeshindwa kuonyesha Big Results Now, basi angalao tuwape Pilau na nyama nyingi kama yule wa kule Nzega na Singida mjini. Hakuna haja ya kupiga kelele, wape watz nyama na mchele uliopikwa. Kura zooote za ndio ni zako.
 
sisi wenyewe maskini hela za kununulia vocha na simu tunazipata kwa taabu halafu mnatufanyia kama hivyo,kama vp toeni ajira kwa watz wote ili tuweze kununua simu zenye viwango na tulipie hizo sim card!ni hayo tu!
 
Shilingi 1000 kwa mwezi ni sawa na shilingi 33 kwa siku.
Mbona caller tunes Mnalipia zaidi ya shilingi 30 kwa siku + 360..
kwa makampuni ambayo hayalipi kodi (Push mobile) na hamlalamiki!!!!?.
Swali tu!

Mtu wa mjini aweke caller tunes za nini? maisha yenyewe haya muziki tosha.
 
...sijawahi kuona mwanamke mnafki kama wewe...? ungekuwa karibu ningekunasa kibao..

Uwezo huo huna wewe,mimi ni mwanamke wa shoka ww
umeshindwa kutumia jina lako halisi dalili ya uwoga na ni aibu mwanaume wa kweli ni jasiri.
Wanafiki mnao huko chadomo maana walisema cuf ni ccm b leo hii eti wameungana nao
kama sio unafiki na kukosa dira ni nini?
poor you!
 
poor you![KUMBE UPO NKAJUA WAMESHA KUDAMPO BAADA YA KUKUTUMIA.
 
Nimehangaika kusoma thread kumbe source ni jarida la udaku wa kisiasa?
Anyway najisikia fahari kuchangia pato la nchi kwa maendeleo ya nchi yangu
Naomba kukatwa kuanzia mwezi wa kwanza mwaka huu.
Nawasilisha.

Pole sana kwa kuhangaika..km umezaliwa wa kuhangaika utahangaika sana...hadi kufa kwako....Kwani habari inahusu gazeti aua uhasilia wake..hembu uliza hao waajiri wako wapya km ni uongo..Nasikia kuna habari mkiulizana mnashutumiwa kuwa CDM...

Huwezi kuwa kambi ya alqaeda halafu ukatete kafir wakabaki na imani nawe.Unatakiwa kuwa na mapenzi na fani yako na si mwajiri wako....mwajiri anaweza kupiga chini kwa njia nyingi sana..tena kipidi hujajiandaa...mwajiri akikuchukia, akibadili uongozi, akifilisika, akiamua bana matumizi na kupunguza watu, ...CCM kabala ya kukutimua ataflia kwanza ....
 
Uwezo huo huna wewe,mimi ni mwanamke wa shoka ww
umeshindwa kutumia jina lako halisi dalili ya uwoga na ni aibu mwanaume wa kweli ni jasiri.
Wanafiki mnao huko chadomo maana walisema cuf ni ccm b leo hii eti wameungana nao
kama sio unafiki na kukosa dira ni nini?
poor you![KUMBE UPO NKAJUA WAMESHA KUDAMPO BAADA YA KUKUTUMIA.

Hahaaa kila siku nawaambia hapa kwangu mtasubiri sanaaaaaa nyie semeni weee mi nabang tu na ccm yangu mjiandae 2015 tutawafunga mdomo.
 
Pole sana kwa kuhangaika..km umezaliwa wa kuhangaika utahangaika sana...hadi kufa kwako....Kwani habari inahusu gazeti aua uhasilia wake..hembu uliza hao waajiri wako wapya km ni uongo..Nasikia kuna habari mkiulizana mnashutumiwa kuwa CDM...

Huwezi kuwa kambi ya alqaeda halafu ukatete kafir wakabaki na imani nawe.Unatakiwa kuwa na mapenzi na fani yako na si mwajiri wako....mwajiri anaweza kupiga chini kwa njia nyingi sana..tena kipidi hujajiandaa...mwajiri akikuchukia, akibadili uongozi, akifilisika, akiamua bana matumizi na kupunguza watu, ...CCM kabala ya kukutimua ataflia kwanza ....

Hebu edit kwanza comment yako kwakifupi hujaeleweka
 
Mwanamke asiyewajali wa nyumbani mwake! Mkulima mlala hoi kijijini kwako unaona raha kumkandamiza kwa kuwafurahisha mafisadi wa mjini! Unajiangalia wewe na vipesa vyako vya kupaka rangi kucha! Hebu waangalie ndugu zako ..... loh mwanamke wewe! Nina wasiwasi kama wewe ni Juliana Shonza nimfahamuye!

Hahaaaa eti vipesa vyakupaka rangi kucha ,we unajua hayo tu ndo upeo wako wakufikiri ulipofikia na ww.
Serikali isiyokusanya kodi ni legelege
ccm si serikali legelege ni lazima ikusanye kodi ili kupush maendeleo
Tatizo lenu mnaleta mahaba ya vyama kwenye mambo ya msingi,kila kitu mmezoea kupinga.
kwakifupi hamueleweki.
Tozo liko palepale
 
Wabongo bana. Badala ya kujadili mada wanajadili post ya Juliana Shonza.

Tena wawezakuta kaweka post yake makusudi ili ku-divert attention na kweli wabongo wamekuwa diverted na kuanza kumjadili yeye.

Hahaaa mkuu hata mimi nawashangaa sana hawa ndugu zangu wanaacha kujadili mada ya mtoa hoja wanaanza kumjadili shonza tena kwa maneno ya kudharirisha utu wa mwanamke kwakudhani nitawaogopa kumbe ni kama wananicharge.
 
Mamlaka ya mapato nchini(TRA) imeandika waraka kwenda kwa makampuni ya simu nchini kuagiza kuanza utekelezaji wa kukata kodi ya laini ya simu.Kodi hiyo ni kuanzia July 30 mpaka september mwaka huu.Hii ina maana kwamba kila mtumiaji atakatwa sh 3000 ikiwa ni kodi ya mwezi July,August na September.Kwa maana hiyo mwenye laini mbili atakatwa sh 6000 na mwenye laini tatu atakatwa sh 9000.

Na katika hatua nyingine wateja milioni 8 simu zao kufungwa.

Kwa taarifa zaidi soma gazeti la Tanzania Daima

CHANZO:TANZANIA DAIMA ONLINE

MY TAKE:
Hii inaweza kuwa ni mbinu ya kuhamisha "attention" ya watu kutoka kwenye issue ya katiba na kutupeleka kwenye issue ya tozo za line za simu!

Tafakari na kisha chukua hatua!

KODI ZOTE ZINAKWENDA WAPI JAMANI?
MATOKEO YA KODI KAMA HIZI AMBAZO ANAKANDAMIZWA MTANZANIA WA CHINI, HUISHIA KWENYE MATUMBO YA MAFISADI. Tuna rasilimali ngapi watanzania mpaka tuanze kukamuana kodi za kipuuzi hizi? kwanini hatushirikishWi wananchi ikiwa hii ni nchi ya kidemokrasia? pamoja na wananchi wengi kuipinga kwanini serikali walazimishe? TANZANIA IMEKUWA NCHI YA KUTOZA DIRECT TAX KAMA HIZI...TUNAKOSA NINI SISI MPAKA TUFIKIE HUKU?
BILA SHAKA TUMEKUWA WATUMWA NDANI YA NCHI YETU SASA.
 
Nnayakumbuka maneno ya baba wa taifa hili ndugu Jullius Kambarage Nyerere aliwahi kusema"Serikali dhaifu haiwezi kukusanya kodi ipasavyo,itaishia tu kukimbizana(kuwabana)watu wadogo tu mtaani.Kama Serikali ingekuwa inakusanya (toza)kodi sahihi katika sekta ya madini tu tungekuwa na fedha nyingi sana.Tatizo lililopo ni kuwa kila anaepata nafasi ya kuutumikia uma basi fedha yote anaielekezea katika maisha yake binafsi,mfano mdogo ni katika mikataba ya madini ambayo Serikali huambulia fedha kidogo .

Afadhali fedha hizi zinazotozwa zingekuwa kweli zinawafikia wananchi ktk malengo yaliokusudiwa ,nyingi huishia katika posho/upembuzi yakinifu/michakato na mambo mengine ya ajabu ajabu ya kufanana na hayo.Mkuu wa nchi nae anakaribia kufikisha mwaka mzima akiwa angani(nje-ya nchi),labda ndio sababu hatusikii sisi wananchi masikini kwa yeye kuwa mbali na sisi.Hii miswaada kurudishwa Bungeni kwa ajili ya kujadiliwa na kufanyiwa maamuzi kwa mara ya pili ni ubadhirifu na uharibifu wa kodi za wananchi,Uongozi wa Bunge unahusika ktika kutupotezea mabilioni ya wananchi.
 
Hahaaaa eti vipesa vyakupaka rangi kucha ,we unajua hayo tu ndo upeo wako wakufikiri ulipofikia na ww.
Serikali isiyokusanya kodi ni legelege
ccm si serikali legelege ni lazima ikusanye kodi ili kupush maendeleo
Tatizo lenu mnaleta mahaba ya vyama kwenye mambo ya msingi,kila kitu mmezoea kupinga.
kwakifupi hamueleweki.
Tozo liko palepale

CHADEMA sijui walimuokita wapi dada huyu anayeingiza itikadi kwenye mambo muhimu kama haya!

Shonza wala hajui maana ya "easy to pay principle" na wala hajui"the effects of Regressive taxation"!Kodi hii mpya inaumiza na itamuathiri mtz maskini!

Sh billion 178 inayo tarajiwa kukusanywa kwenye kodi hii ingepatikana kiurahisi tu kama tunge restructure kodi zetu kwenye madini na vitalu vya kuwindia then tupunguze matumizi ya hovyo hovyo ikiwemo kumdhibiti JK apunguze safari za Ulaya!

JK yupo USA kwa week ya 2 akifanya mambo ambayo yangewezwa kufanywa na maafisa wake wa ubalozi!
 
Back
Top Bottom