Inonga kumfuata prof Nabi pale Far Rabbat

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
Beki kitasa cha Simba aliyeng’ara na DR Congo kwenye Afcon, amefanya uamuzi wake kimyakimya na akapiga kimya vilevile.
Na uamuzi huo unamaanisha kwamba atakuwa ndani ya jezi ya Simba katika mechi zisizozidi 15 tu za mzunguko wa pili wa ligi, baada ya hapo ndiyo hivyo tena.
.
Habari za uhakika kabisa kutoka kwenye vyanzo ni kwamba staa huyo ambaye mkataba wake na Simba unamalizika mwishoni mwa msimu, amesaini mkataba wa awali na FAR Rabat inayoongoza Ligi Morocco.

Kumbuka hii ndiyo timu anayoichezea Bernard Morrison ikifundishwa na Kocha wa zamani wa Yanga, Nabi Mohammed. Inonga tayari amerejea nchini akitokea kwao DR Congo baada ya kuiwezesha nchi yake kuwa mshindi wa nne katika AFCON.

Taarifa kutoka nchini Morocco ni kwamba Inonga ameingia makubaliano ya awali na klabu ya FAR Rabat ambayo yatamfanya mwisho wa msimu kwenda kusaini mkataba wa miaka mitatu na vinara hao wa Ligi ya nchini humo maarufu kama Botola.

#NestoShayoUPDATES
 
Makolo kwisha
1708149719441.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
F
Makolo kwishaView attachment 2906528

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hao Rabat hawakumuona Aziz Ki, Je Mnyeto, Je yule kipa Andunje mdaka Upepo wa Mali.
Hii ni heshima kwa SIMBA SC nyie vigagula endeleeni kukaa na. MAJINI YENU na sasa kwa skendo hii HAKUNA TIMU ITANUNUA MCHEZAJI WENU kaeni nao.
Ushaona nani Anao familia ya KICHAWI?
 
F

Hao Rabat hawakumuona Aziz Ki, Je Mnyeto, Je yule kipa Andunje mdaka Upepo wa Mali.
Hii ni heshima kwa SIMBA SC nyie vigagula endeleeni kukaa na. MAJINI YENU na sasa kwa skendo hii HAKUNA TIMU ITANUNUA MCHEZAJI WENU kaeni nao.
Ushaona nani Anao familia ya KICHAWI?
Makolo mbumbumbu
Sasa Inonga kutakiwa na team nyingine mshaona kombe
Haya Mangungu ataongeza kwenye mafanikio yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom