Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,902
- 14,378
Kuna kamnyama kamoja nimesahau jina lake kanamtafuna Koboko (black mambba) kama soseji
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona dalisalamu hawapoIlitoke mwaka 2004 sehemu inaitwa gilai karibu na lake natron . Huyu docta alikuwa anaenda kutibu kwenye maboma ya wamasai bahati mbaya gari likaharibika ikabidi ashuke kurekebisha ndio kwa bahati mbaya akakutwa na huyu nyoka... Hawa nyoka wanapenda sehemu zenye joto.
koboko wengi ni kijivu. Tusichanganyikiwe kwa kuitwa black mamba
Nguchiro huyo. Kweli kila kitu na mbabe wakeKuna kamnyama kamoja nimesahau jina lake kanamtafuna Koboko (black mambba) kama soseji
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah .....Uchambuzi mzuri sana mkuu,hivi hapa Tanzania black mamba wanapatikana hasa sehemu zipi?
Ha haa umejibu kistaarabu sana chief. Nilitegemea bonge la tusi. Hongera kwa kukomaa kimienendo ya maisha na tabiaMkuu ni kweli ama?
Kuna kamnyama kamoja nimesahau jina lake kanamtafuna Koboko (black mambba) kama soseji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Nyoka anayewika,usidanganye
Hadith za kufikirika,Bibi yako kakudanganya,Jichanganye tuu