Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

HFOOO

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
683
1,000
Hakuna Nyoka anayewika,usidanganye
Mkuu mimi nimezaliwa porini asilimia kubwa ya maisha yangu ni porin hivyo usibishe kuwa nyoka huyo hawiki anawika kama jogoo, ila anaanza kuwika akikomaa na sumu ipo nyingi ndio anaanza kuwika hapo bhana ambiwa jambo jingine ila sio huyo mdudu hafai yaan kitendo cha kumuona tu unaweza kujinyea hafai huyo mdudu
 
primierboy

Member
Jan 27, 2019
12
45
Kwe
koboko ndiyo huyo black mamba .
ana akiri sana
ana kula mti wa bhangi
ana ngata kichwa na shingo tuu
ana sumu kali
ana wika kama jogoo
aja wahi kutembeea kichwA chini yaani siku zote kichwa chake kipo juu kama kasimama vile
ana kwepa mawe
ana ruka kama panzi nk
[/QUOTkwenye kung'ata hachagui tabora waligongawafanyakazi wa wachina kifuani
 
Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
3,331
2,000
images.jpeg
Huyu ni nyoka mkorofi, katili ana sumu kali, anasifa ya urefu anafika hadi miguu 14 kwa hesabu za Kiswahili! yaani piga hatua ukizihesabu 14. Ndo urefu wake. Usipige msamba.

Siyo mwili jumba kama akina Python (Chatu) ni nyoka mwenye roho mbaya kishenzi, kwanza amejaaliwa mbio kuliko nyoka wengi!
images (2).jpeg

Ukikutana nae kitaani kwake(porini) mshkaji lazima akupige beat moja kali sana atakuonyesha kuwa Mimi African Black Mamba. Nyoka niliye jaaliwa sumu kali kuliko nyoka wote! Ataachama huku amekutolea mijicho anakucheck uta react vipi.

Ulaya hayupo huyu lkn Wazungu wanamtambua vema wakitaka kuja Afrika kuna viumbe kwanza wanapewa stories zao. Wanaambiwa mkifika huko mnapaswa kuchukua tahadhari ya hali ya juu na viumbe hivi hatari. Ktk list huyu nae yumo! Wanamwelewa kinyama. Hata ukikutana na mzungu airport anakuuliza "aint there black mamba around here?" Yaani "je hamna koboko maeneo ya karibu hapa" huku mzungu amejificha mgongoni mwako.

ANAPOPATIKANA
images (4).jpeg
Anapatikana katika Bara la Africa tu. Ndiye moja ya nyoka hatari kabisa! Anatoa sumu aina mbili na zote ni hatari! Anatoa sumu inayojulikana kama "Neurotoxin hii huathiri mfumo wa neva, na pia anatoa sumu nyingine aina ya Cardiotoxin hii hushambulia mfumo wa moyo. Nyoka huyu akikuuma ndani ya dakika 20 tu! Watu wanakula ubweche unazikwa maisha yanaendelea.

ISHARA ZAKE
Ukipata bahati yakukutana naye mitaa yake kwanza atakutisha!atakuchimba bonge la beat ata achama kinywa ama mdomo wake wenye rangi nyeusi kwa ndani! Kinywa chake ni cheusi kwa ndani na ndio kimefanya aitwe Black Mamba!

Pili utamsikia anatoa sauti kama psiiiiiii! Au kama tairi linalotoa upepo, Tatu utamuona anatanua shingo yake japo si kama ya Cobra!!! Hapo ujue uko mbele ya nyoka hatari kabisa!! Cool down man nikueleze kitu.

VITU VIWILI USIJETHUBUTU KUVIFANYA!
Moja usikimbie hapo ata mind zaidi maana atahisi kumbe ulikuwa na nia mbaya naye. Sasa hapo ndo utamweleza ulikuwa unakimbia nini maana ana mbio zaidi ya kitu chochote ! Mamba anakimbia Maili 12 kwa saa... Na akikukimbiza hakubali hadi akugonge sehemu ya mwili wako. Ye ardhini huwa anateleza babaake.

Na ukimkimbia ni lazima tu atakuunganishia! hakuachi, Na hatakukosa! maana anakuwa tayari ashaku mind. Anakuwa amekwazika kwa nini ukimbie kama hukuwa na nia mbaya naye?

Pili kuna wale watu akiona tu nyoka ye anakimbilia fimbo au jiweoooohoooh!!! utaharibu. Siku ukikutana na nyoka huyu acha hayo mambo ya kifala ndo atakugonga gonga mpaka uwe kama chujio kwa mashimo atakayokuachia mwilini.

Wataalam wanakwambia nyoka huyu hapigwi! Kwani hata hilo jiwe huenda usiwahi kulirusha au mfe wote! Kwani Black Mamba anasifika kwa Show za kikatili anashambulia vibaya sana! yaani mpaka anapokata roho anaweza akawa anaendelea kugonga tu adui.huku anakata roho anaendelea kugonga tu hafai.

MAPUNGUFU YAKE:
Pamoja na kumuumba nyoka huyu na Sumu kali mbio nyingi, hasira na urefu lakini hapo hapo nyoka huyu ana aibu au huruma fulani hivi alikuona kumbe we mchovu tu. ukikutana nae akianza kukuonyesha sarakasi zake kuwa mimi ndie nyoka hatari nawe Binaadam ukijishusha usikimbie wala usitupe jiwe ubaki unamuangalia tu macho kwa macho! Unaambiwa atatuliza mzuka!

Na wala hatakugusa ataingia zake mitini! Huku akichezesha mkia kuwa mnaagana kwa amani.sasa hapo usije ukaanza ujinga kudhani amekugwaya ukata urudi kwenye ule ujinga wa kutafuta jiwe au fimbo.safari hii...yaani utakufa na kwenda kujilaumu huko uliko kwa kipigo atakachotoa kwako.

UZAO WAKE:
Mamba anataga mayai kama kuku tu kiota chake huwa ardhini. Jike anataga mayai 10-25 akishataga mayai yake huwa yanajiengua yenyewe tu baada ya miezi mitatu. Joto ni muhimu kwa ajili ya lncubation vitoto vyake vikisha jitotoa unaambiwa vinaanza mishe saa hiyo hiyo hujitegemea kwa kila kitu! Na vinakuwa na sumu kali kama Mama yao tu yaani haina kuremba!

UMRI WAKE:
Nyoka huyu anaishi hadi miaka 11 porini. Akiwa anafugwa anaweza kuishi hadi miaka 12. Wadau. Hayo ndo mambo ya koboko. Ntaleta tena stories za Cobra.ngoja ni mstudy na ikiwezekana nifanye interview naye.

images (3).jpeg
Kwa hisani ya watu wa Maporini.
 
Mar 6, 2020
50
125
Ni kweli. Hana shobo kabisa. Na sio mwoga. Kwake woga ni msamiati. Na ana ari ya kufurukuta hadi hatua ya Mwisho incase akizidiwa nguvu na watu wa mali asili pale wanapotaka kumu arrest kwa ajili ya shughuli tofauti tofauti za kiutafiti.

Kwa kifupi. Ukihisi makazi yake basi jitahidi kuyakwepa na usithibutu kuyasogelea.

Kama mleta mada alivyokwisha sema, hata watoto wake wakiwa na siki 1, sumu yake ni ile ile hawana kuremba.

Sent using [Iphone XS Max]
 
BRO SANTANA

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,846
2,000
Huyu ni nyoka mkorofi, katili anasumu kali, anasifa ya urefu anafika hadi miguu 14 kwa hesabu za Kiswahili!

Siyo mwili jumba kama akina Python (Chatu) ni nyoka mwenye roho mbaya kishenzi, kwanza amejaaliwa mbio kuliko nyoka wengi!

Ukikutana nae kitaa mshkaji lazima akupige beat moja kali sana atakuonyesha kuwa Mimi African Black Mamba. Nyoka niliye jaaliwa sumu kali kuliko nyoka wote!

Ulaya hayupo huyu lkn Wazungu wanamtambua vema wakitaka kuja Afrika kuna viumbe kwanza wanaambiwa mkifika huko mnapaswa kuchukua tahadhari ya hali ya juu na viumbe hivi hatari. Ktk list huyu nae yumo! Wanamwelewa kinyama.

ANAPOPATIKANA

Anapatikana katika Bara la Africa tu. Ndiye moja ya nyoka hatari kabisa! Anatoa sumu aina mbili na zote ni hatari! Anatoa sumu inayojulikana kama "Neurotoxin hii huathiri mfumo wa neva, na pia anatoa sumu nyingine aina ya Cardiotoxin hii hushambulia mfumo wa moyo. Nyoka huyu akikuuma ndani ya dakika 20! Watu wanakula ubweche unazikwa.

ISHARA ZAKE

Ukipata bahati yakukutana nae kwanza atakutisha!atakuchimba bonge la beat Ata achama kinywa ama mdomo wake wenye rangi nyeusi kwa ndani! Kinywa chake ni cheusi kwa ndani na ndio kimefanya aitwe Black Mamba!

Pili utamsikia anatoa sauti kama psiiiiiii! Au kama tairi linalotoa upepo, Tatu utamuona anatanua shingo yake japo si kama ya Cobra!!! Hapo ujue uko mbele ya nyoka hatari kabisa!!

VITU VIWILI USIJETHUBUTU KUVIFANYA!

Moja usikimbie hapo ata mind zaidi maana atahisi kumbe ulikuwa na nia mbaya naye. Sasa hapo ndo utamweleza ulikuwa unakimbia nini maana mbio zaidi ya kitu chochote ! Mamba anakimbia Maili 12 kwa saa... Na akikukimbiza hakubali hadi akugonge sehemu ya mwili wako. Ye ardhini huwa anateleza!

Na ukimkimbia ni lazima tuu atakuunganishia!hakuachi, Na hatakukosa!

Pili kuna wale watu akiona tu nyoka ye anakimbilia fimbo au jiwe. Siku ukikutana na nyoka huyu acha hayo mambo ya kifala ndo atakugonga gonga mpaka uwe kama chujio kwa mashimo atakayokuachia mwilini.

Wataalam wanakwambia nyoka huyu hapigwi! Kwani hata hilo jiwe huenda usiwahi kulirusha au mfe wote! Kwani Black Mamba anasifika kwa Show za kikatili anashambulia vibaya sana!

MAPUNGUFU YAKE:-

Pamoja na kumuumba nyoka huyu na Sumu kali mbio nyingi, hasira na urefu lakini hapo hapo nyoka huyu ana aibu au huruma flani hivi alikuona kumbe we mchovu tu.ukikutana nae akianza kukuonyesha sarakasi zake kuwa mimi ndie nyoka hatari nawe Binaadam ukijishusha usikimbie wala usitupe jiwe ubaki unamuangalia tuu macho kwa macho! Unaambiwa atatuliza mzuka! Na wala hatakugusa ataingia zake mitini! Huku akichezesha

UZAO WAKE:-
Mamba anataga mayai kama kuku tu kiota chake huwa ardhini. Jike anataga mayai 10-25 akishataga mayai yake huwa yanajiengua yenyewe tu baada ya miezi mitatu. Joto ni muhimu kwa ajili ya lncubation vitoto vyake vikisha jitotoa unaambiwa vinaanza mishe saa hiyo hiyo hujitegemea kwa kila kitu! Na vinakuwa na sumu kali kama Mama yao tu yaani haina kuremba!

UMRI WAKE:-

Nyoka huyu anaishi hadi miaka 11 porini. Akiwa anafugwa anaweza kuishi hadi miaka 12.

View attachment 1393192Kwa hisani ya watu wa Maporini.
Aisee mtoa mada kula 5.
Yani umeeleza vizuri mpaka raha.
Alafu umemaliza kwa hisani ya watu wa maporini.
Hatari fire.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mapololo

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
318
500
Ukimkuta ktk anga zake lazima akuvunjevunje ukalazwe hospital,ushauri usithubutu kusogelea maeneo yakeya kazi
Ni kweli. Hana shobo kabisa. Na sio mwoga. Kwake woga ni msamiati. Na ana ari ya kufurukuta hadi hatua ya Mwisho incase akizidiwa nguvu na watu wa mali asili pale wanapotaka kumu arrest kwa ajili ya shughuli tofauti tofauti za kiutafiti.

Kwa kifupi. Ukihisi makazi yake basi jitahidi kuyakwepa na usithibutu kuyasogelea.

Kama mleta mada alivyokwisha sema, hata watoto wake wakiwa na siki 1, sumu yake ni ile ile hawana kuremba.

Sent using [Iphone XS Max]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbususu Enthusiast

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
5,914
2,000
Huyu ni nyoka mkorofi, katili anasumu kali, anasifa ya urefu anafika hadi miguu 14 kwa hesabu za Kiswahili!

Siyo mwili jumba kama akina Python (Chatu) ni nyoka mwenye roho mbaya kishenzi, kwanza amejaaliwa mbio kuliko nyoka wengi!

Ukikutana nae kitaa mshkaji lazima akupige beat moja kali sana atakuonyesha kuwa Mimi African Black Mamba. Nyoka niliye jaaliwa sumu kali kuliko nyoka wote!

Ulaya hayupo huyu lkn Wazungu wanamtambua vema wakitaka kuja Afrika kuna viumbe kwanza wanaambiwa mkifika huko mnapaswa kuchukua tahadhari ya hali ya juu na viumbe hivi hatari. Ktk list huyu nae yumo! Wanamwelewa kinyama.

ANAPOPATIKANA

Anapatikana katika Bara la Africa tu. Ndiye moja ya nyoka hatari kabisa! Anatoa sumu aina mbili na zote ni hatari! Anatoa sumu inayojulikana kama "Neurotoxin hii huathiri mfumo wa neva, na pia anatoa sumu nyingine aina ya Cardiotoxin hii hushambulia mfumo wa moyo. Nyoka huyu akikuuma ndani ya dakika 20! Watu wanakula ubweche unazikwa.

ISHARA ZAKE

Ukipata bahati yakukutana nae kwanza atakutisha!atakuchimba bonge la beat Ata achama kinywa ama mdomo wake wenye rangi nyeusi kwa ndani! Kinywa chake ni cheusi kwa ndani na ndio kimefanya aitwe Black Mamba!

Pili utamsikia anatoa sauti kama psiiiiiii! Au kama tairi linalotoa upepo, Tatu utamuona anatanua shingo yake japo si kama ya Cobra!!! Hapo ujue uko mbele ya nyoka hatari kabisa!!

VITU VIWILI USIJETHUBUTU KUVIFANYA!

Moja usikimbie hapo ata mind zaidi maana atahisi kumbe ulikuwa na nia mbaya naye. Sasa hapo ndo utamweleza ulikuwa unakimbia nini maana mbio zaidi ya kitu chochote ! Mamba anakimbia Maili 12 kwa saa... Na akikukimbiza hakubali hadi akugonge sehemu ya mwili wako. Ye ardhini huwa anateleza!

Na ukimkimbia ni lazima tuu atakuunganishia!hakuachi, Na hatakukosa!

Pili kuna wale watu akiona tu nyoka ye anakimbilia fimbo au jiwe. Siku ukikutana na nyoka huyu acha hayo mambo ya kifala ndo atakugonga gonga mpaka uwe kama chujio kwa mashimo atakayokuachia mwilini.

Wataalam wanakwambia nyoka huyu hapigwi! Kwani hata hilo jiwe huenda usiwahi kulirusha au mfe wote! Kwani Black Mamba anasifika kwa Show za kikatili anashambulia vibaya sana!

MAPUNGUFU YAKE:-

Pamoja na kumuumba nyoka huyu na Sumu kali mbio nyingi, hasira na urefu lakini hapo hapo nyoka huyu ana aibu au huruma flani hivi alikuona kumbe we mchovu tu.ukikutana nae akianza kukuonyesha sarakasi zake kuwa mimi ndie nyoka hatari nawe Binaadam ukijishusha usikimbie wala usitupe jiwe ubaki unamuangalia tuu macho kwa macho! Unaambiwa atatuliza mzuka! Na wala hatakugusa ataingia zake mitini! Huku akichezesha

UZAO WAKE:-
Mamba anataga mayai kama kuku tu kiota chake huwa ardhini. Jike anataga mayai 10-25 akishataga mayai yake huwa yanajiengua yenyewe tu baada ya miezi mitatu. Joto ni muhimu kwa ajili ya lncubation vitoto vyake vikisha jitotoa unaambiwa vinaanza mishe saa hiyo hiyo hujitegemea kwa kila kitu! Na vinakuwa na sumu kali kama Mama yao tu yaani haina kuremba!

UMRI WAKE:-

Nyoka huyu anaishi hadi miaka 11 porini. Akiwa anafugwa anaweza kuishi hadi miaka 12.

View attachment 1393192Kwa hisani ya watu wa Maporini.
Hizi threads hazina mvuto kwasasa ingekuwa vyema uihifadhi hadi ishu ya Korona itulie
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom