KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

😂😂😂 uzuri wa ndege ndani inategemeana na operatoe atakavyo order ndegenyakeniwe irembwe vipi ndani, mfano naonaga unaweza ukakuta ndegenlabda B787 -8 ya ET ndani ipo sple ila ndege iyo iyo ila shirika la Singapore airline ndege zao ndani zipo vizuri ndani..
Lazima kuwe na standards mzee, yaani stock order lazima zifanane, labda kama unaongelea special order
 
Lazima kuwe na standards mzee, yaani stock order lazima zifanane, labda kama unaongelea special order
Standard ni ktk mifumo tu, ila operator anaweza aka ifanyia urembo ndani, mfano izi A220 za wa awali hazikuwa na PTV, ila izi ambazo zilinunuliwa ivi karibuni izi 2 ndani zina PTV, ndege iyo iyo lkn shirika la senegal air, Baltic air, egypt airline ndege zao hazina PTV,


Unaweza uka google A350 ya singapore airline utaona ndani ipo tofauti kabisa na A350 za ET, A350 ya Singapore airline ima madaraja matatu lkn ya ET ina madaraja mawili tu
 
Halafu ni hivi: huwa likitoka Amstedam linatua KIA. Likitoka KIA linakuja kutua JKIA kwa ajili ya kubadilisha CABIN CREW na kuchukua abiria wengine. Baada ya hapo destination ni Amsteradam tena bila kutua popote. Acha kabisa I see!
Schiphol- Nairobi-Kia-Zenj, Dar likitoka hapo mkwaju mpk Schiphol
 
Hujawahi kupanda hizi Royal airlines wewe, nimepanda Emirates, Etihad kipindi wanaanza kuja Dar, ila siku napanda KLM nilihisi hii ndio ndege sasa.
Emirates, Etihad zinazokuja bongo ni mangalangala hata Qatar.
Pale kwenye connection mnapigwa,mliotoka mbali mnazamishwa kwenye madege yao cheap ndio yanawaleta bongo.
Hata ET.
 
Schiphol- Nairobi-Kia-Zenj, Dar likitoka hapo mkwaju mpk Schiphol
Hao mara nyingi huwa wanakuwa ni KQ ambao wali-merge na KLM. Ukimchukua m-dutch mwenyewe original route zake mara zote huwa zinakuwa ni Schiphol- KIA (anashusha watalii)- JKNIA (anabadilisha Cabin Crews) na baada ya hapo ni Schiphol tena moja kwa moja bila kukanyaga ardhi
The most interesting route kwangu mimi niliwahi kuifanya kwenye miaka ya mwanzoni mwa 2000. Route yenyewe ilikuwa ni DAR-MUSCAT-ABU DHABI-HEATHROW (LONDON)-COPENHAGEN. Nilikanyaga uarabuni kwa mara ya kwanza. Unaondoka leo jioni saa kumi unawasili final destination kesho yake saa 10. Kama nusu ya route ya kwenda Marekani hivi!
 
hahhahahha unapanda Boeing777-206 unashangaa!!! Ukipanda Boeing 747 au Airbus A380 si utaita mkutano wa kata kusimulia?
 
Kirefu cha KLM ni nn mkuu?
Kirefu cha KLM



KLM, abbreviation of Koninklijke Luchtvaartmaatschappij NV (Dutch: Royal Air Transportation Company), English: Royal Dutch Airlines, Dutch airline founded on Oct.
 
Halafu ni hivi: huwa likitoka Amstedam linatua KIA. Likitoka KIA linakuja kutua JKIA kwa ajili ya kubadilisha CABIN CREW na kuchukua abiria wengine. Baada ya hapo destination ni Amsteradam tena bila kutua popote. Acha kabisa I see!
Kabla ya Jro huanza kutua Jkia mkuu
 
Hapana. Huko nyuma, wazungu wameuana sana hadi kufikia stage hii waliyopo sasa. Walikuwa kama tulivyo sisi leo, wakatumia adhabu ya kifo pasipo kusitasita; kitu ambacho kwa sasa hivi haiwezekani tena kukifanya; nchi yoyote ile popote pale duniani haiwezi kuruhusiwa tena kufanya kitu cha namna hiyo. Walifanya hivyo enzi zile za kale sisi tulipokuwa bado tuko kwenye enzi za ujima
Saudi arabia bado wananyonga na nchi nyingi tu za asia hawataki masihara
 
Back
Top Bottom