KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

Ni sawa na kusema Dar Express bonge la basi, KLM ni shirika na siyo aina ya ndege, Bonge la ndege ulipaswa kutaja aina ya ndege uliopanda inayoendeshwa na Shirika la klm kama ni Air Bus (type gani), Boeing type gani nk. got it ?
Mzee Mbona una complicate maisha? Wasomi bana….wewe unadhani mwenzako yupo sophisticated kama wewe kwenye haya mambo ya ndege? Jamaa anajua alipanda KLM. Hizi mbwembwe za Airbus siu
Jui Boeing zinatoka wapi?
 
Nilipanda huo mdude Kilimanjaro mpaka JK Nyerere then Amsterdam kisha Heathrow, Nili enjoy sana safari ndefu lakini sikutamani iishe 😀
 
JF bhana....kila mtu kapanda ndege tena mashirika makubwa ya maana 😂 😂
 
JF bhana....kila mtu kapanda ndege tena mashirika makubwa ya maana 😂 😂

Ni kweli
Nimeshapanda, British Airways, Ethiopian Airline, Qatar Airways, Emirates, Turkish Airline, Kenya Airways,, Swissair, KLM, Egypt Air na zote ni safari ndefu zaidi ya masaa 10.....
Ni kawaida sana wala usinung'unike....
 
Back
Top Bottom