Kwa hiyo huko makanisani watu wanaenda kumwabudu Magufuli na sio Mungu.!!Wasubuti kumfungia Rais wetu uone kama watabaki hata na muumini mmoja, makanisa yao yatabaki magofu .JPM ananguvu sana na amejijengea ufalme ndani ya mioyo ya mamilioni ya watanzania, afrika na dunia kwa ujumla. JPM ametuambia tutegemee Mungu na tumuombe atuepushe corona isiingie katika miili yetu. God bless our President and live long JPM
Mpumbavu kama wewe ukifiwa na baba yako mzazi na anazikwa siku moja na Magufuli bila shaka utaenda kumzika Magufuli. Huna akili kabisa wewe.