KKKT yatahadharisha kuhusu COVID19

KKKT yatahadharisha kuhusu COVID19

Vingozi wa dini wanasema tuchukue tahadhali na maelezo ya mabeberu. Lakn raisi wetu mwanasayansi anasema tu mtegemee zaidi Mungu .Wizara imesema tufuate ushauri wa wataalamu (wanasayansi). Kama rais wetu mwanasayansi basi kumbe ,ni Mungu ametupa kwa hataki sana.
 
Tangu nizaliwe ni mara ya kwanza kuona mwanademokrasi wa kweli duniani. Democrasia ni nikutetea wanyonge au watu wa kawaida(common people) . Hajalazimisha mtu kujifungia ndani lockdown ,hajalazimisha mabarakoa, hajalazimishi kudungwa mashindano ya majaribio chanjo. Dunia impe cheti cha high democratic leader .na huyu si mwingine bali ni yule alikuja kutengeneza njia ya kiristo. Na Jiwe walilo kata waashi limekuwa jiwe kuu la pembe kila alimpinga alipoteza ubunge wake wala hukurudi mjengo.
 
Tangu nizaliwe ni mara ya kwanza kuona mwanademokrasi wa kweli duniani. Democrasia ni nikutetea wanyonge au watu wa kawaida(common people) . Hajalazimisha mtu kujifungia ndani lockdown ,hajalazimisha mabarakoa, hajalazimishi kudungwa mashindano ya majaribio chanjo. Dunia impe cheti cha high democratic leader .na huyu si mwingine bali ni yule alikuja kutengeneza njia ya kiristo. Na Jiwe walilo kata waashi limekuwa jiwe kuu la pembe kila alimpinga alipoteza ubunge wake wala hukurudi mjengoni
 
Inavyoonekana wapinzani mnaipenda sana corona nendeni Nchi jirani mkachanjwe
 
Uko sahihi badala ya kutujazia mikelele yao ya nyaraka wafunge tu makanisa yao tumechoka minyaraka kutwa
Kama wanasoma corona ipo wafunge makanisa waache ubabaishaji
Sasa wakifunga makanisa yule mwenyekiti wako mnafiki shoo za kupiga magoti kila jumapili atafanyia wapi?
 
Back
Top Bottom