Msipindishe ukweli. Wao wameshamaliza kazi yao. (Soma Ezekiel 33:1-6). Chukua tahadhari.Uko sahihi badala ya kutujazia mikelele yao ya nyaraka wafunge tu makanisa yao tumechoka minyaraka kutwa
Kama wanasoma corona ipo wafunge makanisa waache ubabaishaji
Hapo sasa unaleta uchochezi dhidi ya Kanisa!!Basi miongoni mwa tahadhari na wafunge Kanisa lao ili waumini wao wasiambukizwe na mikusanyiko.
Amesema ukweli ila mmechelewa kusema ukweli, watu wengi wamekufa.Mwenye masikio na asikie. "Imeandikwa; Usimjaribu Bwana Mungu wako." Watu Wangu wanaangamizwa kwa kukosa Maarifa"
Nyie vibwengu mtakua sio watanzania mna roho za kishetan kwan kila anaenda tofauti namfalme juha nikushambuliatu hata kwenye mambo yanayohusu maisha yenu.Hiv unajua kusoma kweli wew kibwengu?Uko sahihi badala ya kutujazia mikelele yao ya nyaraka wafunge tu makanisa yao tumechoka minyaraka kutwa
Kama wanasoma corona ipo wafunge makanisa waache ubabaishaji
Kufunga nyumba za ibada huku ofisi, soko,Hospital na shughuli nyingine za kijamii zikiendelea ni matumizi mabaya ya akili.Uko sahihi badala ya kutujazia mikelele yao ya nyaraka wafunge tu makanisa yao tumechoka minyaraka kutwa
Kama wanasoma corona ipo wafunge makanisa waache ubabaishaji
Viongozi wa kanisa hawaongozwi na mihemko.Kama wanaona corona ipo wafunge makanisa full stop vinginevyo ni ubabaishaji tu
Sasa mtu anataka waumini wachukue tahadhari ya namna gani? Akiachia watu waende kanisani utakuwa ni unafiki kama unafiki mwingine.Hapo sasa unaleta uchochezi dhidi ya Kanisa!!
Huko kwingine hawaamini kuwa Corona ipo huko mikanisani kwenu mnakoamini Corona iko mfunge makanisa yenuKufunga nyumba za ibada huku ofisi, soko,Hospital na shughuli nyingine za kijamii zikiendelea ni matumizi mabaya ya akili.
Na wala hawaongozwi na CoronaViongozi wa kanisa hawaongozwi na mihemko.
We umepandishwa mshahara, au upo kama akina Popole wanaoneemeka na kufaidika na magwanda ya kijani?Tuendelee kuchapa kazi ndugu zangu tena kwa furaha isiyo na kifani.
Uko sahihiSasa mtu anataka waumini wachukue tahadhari ya namna gani? Akiachia watu waende kanisani utakuwa ni unafiki kama unafiki mwingine.