conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,116
- 762
Mkristo wa mashehebu yaliyo chini ya cct au rc chini ya tec. Kuna. Mambo mawili makubwa au sakramenti moja ubatizo na pili kipaimara .
Maana yake wewe unatambua utaratibu na kiuutii kuufuata.
Km alivyo askari anapokuja mzalendo ,kuruta mpaka kuwa mtumishi anafundishwa vitu vya kuishi maisha yake yoote.
Sasa km unaenda kinyume na hicho hata km unafanana lazima upewe jina jingine mfano unaweza kuwa muasi ,mwanamapinduzi nk
kuwa muasi si tusi Ila ww unataka kuendesha mambo tofauti na ulivyo yakutwa yamepangwa kwa utaratibu uliokuta.
Mruteli yeyote. Atakaye kwenda kinyume na mafundisho ya uruteli basi hakuiva anapaswa kuanzisha kanisa jingine au kwenda kwa wanao mfaa na si vinginevyo. Yaani mfano rc Kuna mashirika mbalibali ya kitawa,mtu umepewa parikia uiendeshe km shirika la kitawa wakati utaratibu wa kuendesha. Parokia upo na unajua na umeauapa kuutii. Unadhani askofu mkuu wa Jimbo husika achilia na papa atakuacha salama?
Unapaswa kutetea mapokeo yako bila kuangalia waislam watasemaje kwa sababu waislam sio wa dini yako. Na hamkai mkapa ga pamoja, wao Wana ya kwao Yana wasumbua na wanatafuta wao njia za kutatua na ww pia. Pambana bila kuangalia asie wa mapokeo yako anafanyaje.