Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,046
Inawaumiza wajinga. Tunaojua tunakunywa bila shidaPombe inawaumiza kichwa
Inawaumiza wajinga. Tunaojua tunakunywa bila shidaPombe inawaumiza kichwa
Vipi kuhusu kiroba?
naomba jina la kitabu mtumishi wangu
Mkuu hicho kitabu nafikiri ni Sila. Kipo kwenye biblia ya wakatoliki, kama sijakosea.naomba jina la kitabu mtumishi wangu
Umeamka na viroba kichwani. pata hiyo kupunguza stressDini yenye we haina mashiko ukiristo sio dini mbele ya mungu
Jamani barikini na uasherati
Quiet bold statement. Itakuwa vizuri ukiweka ushahidi ni wapi exactly ameruhusu. Hii itasaidia kuondoa mitanziko kwa watu wasio na uhakika juu ya hili!
Dini ya kweli ni ile ya kuabudu mkiwa pamoja na majini huku mkibinua makalio hewani sio?Dini yenye we haina mashiko ukiristo sio dini mbele ya mungu

kitafute mkuu ikiwezekana na mstari.Mkuu hicho kitabu nafikiri ni Sila. Kipo kwenye biblia ya wakatoliki, kama sijakosea.
Inawaumiza wajinga. Tunaojua tunakunywa bila shida
Kwa hiyo mkuu una maana unajishusha hadhi?Mimi Ni mnywaji pombe! Ila si entertain unywaji pombe!! Pombe ni chanzo cha mafarakano,pombe ni chanzo cha magomvi! Pombe inashusha utu wa mtu hasa anapoonekana hadharani akiwa amelewa! Na ndiyo maana Biblia imeandika kuwa pombe haiwafai wafalme,maana automatically inashusha hadhi!! Pia imeandikwa Ole wake ampaye nduguye kileo!!
Dini ya kweli ni ile ya kuabudu mkiwa pamoja na majini huku mkibinua makalio hewani sio?
Kijana wa bwn mudy bana![]()
![]()
![]()

Ndiyo!! Una swali jingine?Kwa hiyo mkuu una maana unajishusha hadhi?
Unaongea na nani?!Unaonekana kuwa na uelewa mdogo au bifu kwa Askofu Dr. Malasusa
Kilichokataliwa katika Biblia Takatifu ni "ULEVI"
ULEVI hata wa Chakula kingi ni dhambi kabisa kama ilivyo Uzinzi, Wizi n.k
Unaweza kunionesha mstari wowote katika biblia unaokataza POMBE?
Kama nani?Unaongea na nani?!
Inapotokea kiongozi anashadidia pombe ni tatizo.Hakupaswa kuzungumzia habari ya pombe.Hii ikiachwa ipite tu ataibuka kiongozi mwingine na kusema kuoa wanawake wengi haina shida na maandiko yapo kutetea hoja yake.Viongozi wa namna hii huleta utata mkubwa sana kwa jamii wanazoziongoza
Sijawahi sikia amri kama hiyo maybe itakuwa ni amri ya mtu na sio ya Mungu aliyompa Mussa tuzitunzeKina uhusiano na zabibu?
Haya mambo ya ulevi yana uhusiano na ile amri ya kilicho fungiwa/ kufunguliwa duniani na mbinguni kupata kibali. Na arguements za hao wa missionari walio sema divai ni haramu watakuwa walibase hapo.
Na washawasha!