Kizuri Kula na Mwenzio: Burger Za 'McDonalds' Bongo!.

Wenzenu uko Uropa na Marikani, wanazipiga vita hizo burger kwa sababu zinasababisha matatizo ya kiafya, uku mnaanza kuzifanyia promo...!

Ni wakati umefika sasa hayo maduka kuanza kuuza Ugali wa Bada, Mahindi au unga wa Mtama... Na mikate ya Mabumunda.
 
Junk food

Jamani msiwe mnasema kitu ambacho hata hamjui kilitoka wapi. Kati ya ugali na burger hipi ni junk food? Mzungu ukimpa ugali kila siku atasema ni junk food. Burger can only be junk food kama unakula kila siku. hebu niambie bakuli la ugali lina carolies ngapi na chicken burger ina ngapi? hapo ndo utaona nini junk food.
Jiulize kwa nini the so called healthy food is more expensive than junk food? This does not necessarly mean the production of so called healthy food is more costly than junk food. Kweli mzungu akikwambia mweusi hufikirii na wewe unakubali tu. Sishabikii burger but dont call it junk food.
 
ni jina tuu kama Makidonadi, Kentaki fraid chiken na Tenesee fraid chiken!. Natumaini utakuwa unenipata.

Acheni hizo bana burger bongo

Acheni nyie ah

Kesho watatueletea KFC na Pret a manger na Mara cjui nini dah ila bado nasisitiza hakuna kitu pale Jina tu.....

Burger bongo
 
Jamani msiwe mnasema kitu ambacho hata hamjui kilitoka wapi. Kati ya ugali na burger hipi ni junk food? Mzungu ukimpa ugali kila siku atasema ni junk food. Burger can only be junk food kama unakula kila siku. hebu niambie bakuli la ugali lina carolies ngapi na chicken burger ina ngapi? hapo ndo utaona nini junk food.
Jiulize kwa nini the so called healthy food is more expensive than junk food? This does not necessarly mean the production of so called healthy food is more costly than junk food. Kweli mzungu akikwambia mweusi hufikirii na wewe unakubali tu. Sishabikii burger but dont call it junk food.
Dah! Mkuu pole sana, kula chakula cha aina moja kila siku hakikifanyi icho chakula kuwa junk food, nchi zinazokula ugali kwa wingi ni nchi za dunia ya tatu, ambao hata maisha yao 75% ni natural life, kulingana na maisha ya watu wa Ulaya na Amerika.

Ugali unaweza kuwa na carolies nyingi, lakini bado hauna fat na sukari nyingi ukilinganisha na burger ukila na chips, ukisukumizia na coke, tayari ushatengeneza sumu mwilini.

Sijawahi kusikia campain za kuwataka watu wapunguze kula vyakula vinavyotokana na Mahindi, lakini vyakula kama burger, pizza, taco, ni vyakula vyenye radha nzuri, lakini vina carolies nyingi na vina sugar, fat na vipo little nutritional value.
 
Pasco ndugu yangu, zile hamburg kwa kweli wanajitahidi.
Kuna siku jamaa yangu alimpeleka demu pale wa chuo flani opposite na mahakama ya kazi, demu alizifinya chicken burger mbili na vichips akazifuta zote then akashushia na sprite ya kopo! Mimacho ilimtoka jamaa! Toka siku ile anamuita MUNGIKI.
 
Mkuu kwa kesho napandisha uzi ,maana juzo kato nimekutana na mabinti nimewabatiza jina la YONO AUCTION MART ni hatari maana wale wamejipanga kufirisi kila mwanaume wanayekutane naye.
 
Mayalla REGRATE haiandikwi hivyo. You are a public figure next time you write something for public consumption proof read before you post. Sawa kaka
Halafu nahisi una share pale Morocco. Cheers
 
Wanaume wa Daaaslam katika ubora wao, njooni Mwanza mwendo wa Samaki Makange na Ugali wa Mtama afya saaaafi hakuna mafuta wala Chemicals. Achaneni na Vyakula vya kuiga iga mtaishia kuuugua Saratan za Utumbo buree
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom