Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,221
- 128,982
Ule msemo wa Kizuri kula na wenzio unamaanisha ukiona jambo jema, zuri, wajulishe na wenzio!.
Hii ni kwa wenzetu mliopo ughaibuni, msosi rahisi ni fast food. Wale wa Mcdonalds, Kentucky or Tenesse etc, mkirudi nyumbani bongo, sasa mambo hayo yapo!. Karibu kila petrol station kubwa jirani kuna kibanda cha burger, tatizo ni hizo burger zenyewe!.
Miongoni mwa wanaojitahidi sana kufanania na Mcdonalds angalau angalau ni kile kibanda pale Petrol Station ya Morocco!.
Mkirejea nyumbani, ukijiona umemiss sana burger, karibu hapo Morroco you'll never regireti!.