nchi ya makambare yooote yana masharubu huwezi kujua mzee yupi mtoto yupi ilimradi tu sasahivi manamba kibaaao SSH 25 30 wala hakuna anayewauliza wanajifichia humohumo chawa na wasio chwa ilimradi tu uonekane una support ujinga wa bi chura, nchi ya kusadikika.
Kuna cha muhimu zaidi kabisa hujakiweka kile cha waaaah waaaaah.kiashilia cha shambulio la mabomu,kujuza watu waende kwenye mahandiki na Dhani ni bora kuliko vyote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.