Kizungumkuti barabarani! Ving'ora vitatu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,882
Reaction score
828,446
Tukio kama hili ni nadra sana kutokea

Wapo Watu wa watatu kila mmoja kwa umuhimu wake anataka kutumia barabara.. Sasa nani ampishe nani
Kuna king'ora cha mwanasiasa, anawahi anakojua
Kuna king'ora cha zimamoto
Kuna king'ora cha ambulance

Mwananchi hakuwahi kupata matokeo ya alichokuwa anakimbilia mwanasiasa
Fire haijawahi kuzima moto na kuokoa mali

Pengine ambulance iliwahi kumuwahisha mgonjwa na kuokoa maisha yake

Ving'ora vitatu barabarani.. Je mwananchi asilikilize kipi na aache kipi!?

Je anajua kutofautisha sauti zake hata kabla ya kuliona gari?
Fire: wiuwiuwiu: kiashiria cha hatari

Ambulance: wiiiiuuuuu... Wiiiiuuuu... Wiiiiuuuu.! Yaani ukisikiliza kwa makini ni kama kilio au majonzi
Mwanasiasa: kroo kroo. Wiu..kroo kroo wiu.. Kimejaa vitisho tupu🤣

🤣🤣🤣🤣✋🤣
 
Kwa wazungu
(1) Ambulance(2) Zimamoto (3)Mwanasiasa

Lilongwe
(1)Mwanasiasa (2)Ambulance na Zimamoto watajijua wenyewe
Lilongwe
(1)Mwanasiasa (2)Ambulance na Zimamoto watajijua wenyewe😂
 
Tukio kama hili ni nadra sana kutokea

Wapo Watu wa watatu kila mmoja kwa umuhimu wake anataka kutumia barabara.. Sasa nani ampishe nani
Kuna king'ora cha mwanasiasa, anawahi anakojua
Kuna king'ora cha zimamoto
Kuna king'ora cha ambulance

Mwananchi hakuwahi kupata matokeo ya alichokuwa anakimbilia mwanasiasa
Fire haijawahi kuzima moto na kuokoa mali

Pengine ambulance iliwahi kumuwahisha mgonjwa na kuokoa maisha yake

Ving'ora vitatu barabarani.. Je mwananchi asilikilize kipi na aache kipi!?

Je anajua kutofautisha sauti zake hata kabla ya kuliona gari?
Fire: wiuwiuwiu: kiashiria cha hatari

Ambulance: wiiiiuuuuu... Wiiiiuuuu... Wiiiiuuuu.! Yaani ukisikiliza kwa makini ni kama kilio au majonzi
Mwanasiasa: kroo kroo. Wiu..kroo kroo wiu.. Kimejaa vitisho tupu🤣

Ving'ora vya MAMA
 
Ilo tukio nililiona Airport majuzi ambulance iliwekwa foleni na kingora kikazimwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom