Kiwanja Mbeya Mjini.

Kiwanja Mbeya Mjini.

Dudukwe

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2022
Posts
323
Reaction score
566
Habari za Pasaka wanajukwaa,

SIjawahi kuona kiwanja cha 5M au chini ya 10M kinauzwa Maeneo ya mbeya mjini. Kila siku naona vya 40M tu na kuendelea.

Kama kuna kiwanja chenye bei hiyo niliyoitaja mbeya CBD tujuzane wakuu, maana vipato vinatofautiana

NB.
1. Kuwe na barabara inafika.
2. Kama ni Dalali uwe unajielewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom