Natafuta kiwanja cha makazi Mbeya Mjini

adsense master

Senior Member
Mar 12, 2019
107
171
Habari wakuu natumaini wazima npo mbeya mjini nahitaji kiwanja kwaajili ya makazi kiwe kimepimwa na hati,sqm 750+,kuwe na maji na umeme..ngependelea zaidi iwambi mpya ( upande wa maghorof)
bajeti yangu 7M.

NB:SIHITAJI DALALI

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom