Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,324
- 18,479
True private sector salary kubwa lkn hawana kamba serikalini salary mbuzi lakini kamba za kula ni nyingi.Wewe serikalini hawaishi kwa mshahara kama private sector, hawa wanamalupulupu kibao, wanalipiwa mfano, hela ya nyumba, matumizi ya simu, umeme na maji, samani za ndani. Hapo bado semina, warsha na kadhalika. Halmashauri kila kikao wanaposho.
Wakuu wa idara wanasafiri sana nje ya wilaya au mkoa, malipo ya hapo usipime.
Wewe hicho kimilioni 6 chako mwenzako anakipata kwa wiki, wewe unasubiria mwezi. Serikalini watu wana hela hasa hao wakuu wa idara. Ndo maana wengi wanachezea fedha, na nimatajiri wakubwa. Wakati wewe ukiangaika kubana matumizi na vimilioni vyako 6.
Jiulize tu madreva wengi serikalini wanafedha nzuri tu. Ila mishahara unaweza ukacheka. serikalini awaangalii mishahara!