hawapati chochote, wanahesabika kama vile hawaku apply au niseme hawana vigezo vya kukopeshwa, ila kwa wale wenye hoja zenye nguvu wanaweza ku appeal na wakafanikiwa,pia waweza kuwa hukupata mkopo kwa sababu mbalimbali may be 1)fomu za ku apply hazikufika 2)hukuambatanisha baadhi ya nyaraka,nk.pia mkifika chuoni Kama Umepata Udsm daruso hua wanasaidia kushughulikia na vyuo vingine vina taratibu zao kupitia uongozi wa wanafunzi so msife moyo hata hao waliokosa zaidi ya nusu wanaweza kufanikiwa baadae.

<br /

sasa mpendwa ina maana hata boom hakuna??? And nivp sasa manake serikali za wanafunzi chuoni hazipo hao 2liokosa nan atatusaidia
mmesoma st st mnadhan mtapata mikopo
nimecheki na kiasi nilichoona ndio kinachotatiza cause nimepewa 3847500/ ambacho ni kikubwa sana kwa mwaka (kozi yangu ina gharimu 1,300,000/=) + boom 180000/= kwa mwaka) na kama ni kwa miaka yote wana uhakika gani na perfomance yangu kama nitamaliza.

ndugu huonji hata cent unakua ni full private mi nadhani kila chuo kina leadership ya students mi nilisoma udsm daruso hua wanasaidia sana watu pia kuna jamaa anaitwa Bush pale office no.105 UTAWALA za udsm anayehusiana ya mikopo tuu, kwa udsm kama una vigezo ni rahisi kupata but kama upo mbali na dar ni mlolongo mrefu.

Habari wana jf ninatatizwa na kiwango cha fedha kilichotolewa na bodi kuna watu hyo fedha inazidi gharama ya koz kwa miaka yote mitatu e.g jamaa yangu kapewa 3,147,500 na gharama ya koz/mwaka (LL.B) ni 950,000 je hv viwango wamejumulisha na mahtaji mengne kama meal allowance etc.

Fanya 8000 (meal&acc) * siku 240 (2sms) mwaka1 ,inayoongezeka hapo ndo ada ya masomo yako kwa mwaka hapo chuoni...right??
pesa haiwekwi kirahìsi hivyo, natabiri migomo ming huko tuendako.

sijakupata. Ina maana tayari mmeshawekewa hela?. Sikuelew kabisa.

hiyo sio sababu, me nimesoma sec. tulikuwa tunalipa ada 1.7M ila mkopo napata km kawa na wala cna connection yeyote bodi

nilisoma sua, kuna dada mmoja anafatlia mikopo. Huwa wapo serious sana.