Gelange Vidunda
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 314
- 31
Come to think of it, kuna waziri mmoja aliweka mkakati mzuri sana wa kupata walimu wa mashule zetu. Kwanza alipendekeza wanaoingia ualimu vilevile wawe wale waliofaulu vizuri na watakaopenda kufundisha (alikebehi wenye division 4 eti ndio waende ualimu!)
Pili, aliongeza vyuo shirikishi vinavyotoa walimu katika elimu ya juu - Mkwawa na Chang'ombe vikawekwa kuongeza kupata walimu wliohitimu elimu ya juu.
Tatu, ikiambatana na hiyo ya juu, alipendekeza mkakati wa kutoa walimu wengi katika muda mfupi. Mwalimu aingie chuoni na afundishwe jinsi ya kutoa elimu (pedagogy - the art or science of teaching; education; instructional methods.) halafu akishahitimu hii in a year aingie kufundisha practically for 1 year and then arudi chuoni kumaliza degree yake ya ualimu. At the same time unapata wale walimu waliotangulia kwenye mkakati huu wanarudi kumalizia degree zao wanapishana na waliosoma pedagogy ambao wanaingia 1 year practical teaching kwa hiyo kuna kuwa na cycle ya walimu wanapishana mavyuoni na mashuleni. Hii ilikuwa iwe only stop gap solution to get as many teachers as possible out into the schools and then ikisha stabilize then irudi system ile ya kawaida ya kusomea ualimu miaka mitatu/minne and then kwenda kuanza kufundisha. Alas, JK akaja na waziri mwingine ambaye hakuendeleza mkakati huu, na muda huo huo former waziri mkuu kaja na sekondari za kata ambazo ghafla hazina walimu! Go figure!!
Nne, Waziri huyohuyo anakumbukwa kwa eti "kufuta michezo mashuleni" kumbe yeye alifuta mashindano ya kitaifa ya shule za msingi na sekondari, UMISHUMTA na UMISETA. Michezo mashuleni iliendelea na yeye aliwachallenge wizarani waje na mkakati ambao hautaingilia muda wa masomo. Vilevile, mashindano hayo yalikuwa na michango kwa kila mwanafunzi, awe anacheza au hachezi; hakuna accounting yake tangu ianzishwe lakini wizara ilikuwa inatoa budget bungeni kwa ajili ya mashindano hayo. Kwa ufupi, hela nyingi zilipotea mikononi mwa maafisa elimu wa mkoa na wakuu wa idara na wakurugenzi wizarani. Michango ya michezo, michango ya madawati, michango ya majengo, michango ya uniform etc etc mashuleni yalizidi hence putting a big burden in parents, a majority of them poor peasants and workers. Alifuta michango yote hii na aliingia katika majibishano na aliyekuwa wazir mkuu enzi zile, Sumaye. Waziri huyu alileta ahuheni kwa wananchi kwa kupunguza michango. Alas, mambo haya yameanza kurudi tena taratibu......
Tano, mambo ya mitaala nayo aliibadilisha na kwa bahati mbaya hakueleweka vizuri na wananchi wengi. Mitaala ilikuwa mingi mno kwa mtoto wa shule ya msingi, jambo ambalo lilifanya ile concept ya education iwe batili! Masomo yale muhimu especially Math, science and to some extent, English, yalipunguzwa sana ili kuaccomodate masomo mengine ambayo mtoto alibidi kuyasoma. Mtoto alikuwa karibu na masomo 15 ayafanyie mtihani! Akifika sekondari aanze kusoma professions kwa mfano Accounting and/or Commerce, Agriculture etc ambazo akimaliza form six na kuingia B. Com Mlimani anaanza upya tena "what is accounting?, what is commerce?" etc without getting credit for 6 years studying Accounting and Commerce in secondary school!! Akiingia SUA anaanza tena "what is agriculture" wakati ameshatoil Ruvu Secondary miaka 6 akijifunza agriculture, animal keeping and husbandry etc. Waziri huyo alipendekeza shule za msingi na sekondari zitoe basic education and vyuo vifundishe proffessions. Mfano mzuri ni kwamba somo la math liwe na sections, kwa mfano, za algebra; accounting math e.g. NPV, etc; Chemistry math i.e. empirical and chemical formulas; physics math i.e. power, force etc, etc instead ya kuanza kutenga kila somo lake peke yake. Better yet, why not get credit for what one has done in 6 years when at university?
Kubadilisha mitaala na kufuta mashindano ya kitaifa kulisababisha a spike in pass marks in those two/three years he was minister of Education - is it no wonder that most of his mapendekezo have been pushed aside and pass marks have begun to fall again? You figure out yourself.
My two cents....... sorry if it appears I am rambling.