Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Kusikojulikana vipi wakati mafunzo yanatolewa Kunduchi, kikuyu mlimani msalato nk.
Mbona sehemu zinajulikana unasemaje hazijulikani!!

Duh...hii nchi Haina Siri kumbe. Yaani Kambi za UT hata mwananchi wa kawaida anazifahamu.
 
Duh...hii nchi Haina Siri kumbe. Yaani Kambi za UT hata mwananchi wa kawaida anazifahamu.
Kuzifahamu kambi sio kujua siri zilizomo ndani ya kambi.
Kuna kambi za jeshi mpaka mjini lakini unajua kinachofanyika ndani ga kambi!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom