Kiwanda kinachotengeneza Barakoa zinauzwa Muhimbili kiko wapi na kinamilikiwa na nani?

Nitashangaa sana kama viongozi wa serikali yetu wanaojinasibu kwa uzalendo kila siku watakuwa wanahusika na hiyo biashara, muhimu tuambiwe ni nani mmiliki wa hicho kiwanda, sio kila siku tunalazimishwa kuamini barakoa toka nje zina matatizo ya kiafya wakati ni wao ndio walioruhusu ziingie.

Sikutegemea kama kuna watu watawaza biashara katikati ya hali hii tuliyonayo.
Ulishaaambiwa kuwa mlime sana mazao mengi maana mataifa ya nje wapo lockdown hivyo mtawauzia mazao yenu.
 
Sio Barakoa tu wanatengeneza hadi PPE.

Kwa wasiofahamu hizi Hospital kubwa kuna vitu vingi watengeneza hasa consumables kwa ajili ya matumizi yao
 
Barakoa za nini wakati mnasema hakuna corona?? Au “changamoto ya kupumua” inaletwa na vumbi?? Unafiki, hila na fitna vimeanza kupungua sasa mnakiri kuna tatizo!!!

Kiwanda cha Muhimbili hakiwezi kuzalisha kiasi cha barakoa zinazohitajika kukinga umma wa watu karibu milioni 65!! Kila mtu avae barakoa anayotaka - muhimu ni kujikinga!!
 
Back
Top Bottom