Kiwanda Changu Cha Mapenzi Kinafungiwa!

Sudi alizidisha masihara na wakuu eti mtu unakuja na staili unajiita Shilawadu news[emoji23] haki ya nani wakuu hawaez kukuacha
Hahahahhaha
Na mimi naeandika mapenzi je wananifungia?

Mbona shigongo hawamkamati? !
Mbona Idris Sultan hawajamfungia?!
 
Hao wakina shgongo na idris kwakwel cjajua
Ww wa mapenz utapigwa Ban kwa kupotosha jamii kuendekeza starehe badala ya kufuata agizo la mkuu la kuchapa kazi...Over"
 
Kumbe mapenzi ni upotevu sio burudani
Kiru
Haitakuwa in Jesus name.. amen
Ngoja niendelee kubaki London kwanza
 
Hao wakina shgongo na idris kwakwel cjajua
Ww wa mapenz utapigwa Ban kwa kupotosha jamii kuendekeza starehe badala ya kufuata agizo la mkuu la kuchapa kazi...Over"
Sema sera za jiwe zinajicontradict zenyewe tu , leo anasema 'watanzania chapeni kazi' , kesho anasema 'watanzania fyatueni tu' sasa tunashindwa tushike lipi tuache lipi!
 
Mkuu bado mengi yatajir unaeza skia kama hujaoa usikae bar au huna ajira unatakiwa kwenda jela ukachape kaz kweny mashamba
 
Hivi mtu Kama shafii anakosa mtu wa kuinvest mil 10 walipie vibali vyote wagawane hisa
huyo shafii hela anayolipwa na YOUTUBE mwenzake Millard Ayo atasubiria miaka 100
nashangaa Millard AYO amelipa lakini Shafii kauchuna!
doh kweli anastahili kukamatwa
hela SHAFII anayo sijui kwanini hajaenda kulipa kumbe anadaiwa mil 10 na TCRA?
 
Sema sera za jiwe zinajicontradict zenyewe tu , leo anasema 'watanzania chapeni kazi' , kesho anasema 'watanzania fyatueni tu' sasa tunashindwa tushike lipi tuache lipi!
TUFYATUE nini tena?
uuuwi kumbe kasema tufyatue?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…