Kiwanda Changu Cha Mapenzi Kinafungiwa!

Kiwanda Changu Cha Mapenzi Kinafungiwa!

Ukijifanya mbishi utalala korokoroni...tii sheria bila shuruti,zile zama sio hizi bibiee...
 
Jaribu kufanya 'cost & benefits analysis' kama haikupi hasara lipa kodi,na kama inakupa hasara buni biashara nyingine;kawaida si vizuri kubishana na mfumo kwani mwisho wa siku ni wewe na biashara yako itaumia;na mfumo unabadilika,kesho
unaweza kuwa wewe au yeyote yule.
 
Online content Regulations ni ubatili mtupu.

Kama walikuwa wana nia ya kumlinda Rais Magufuli ni afadhali wangetumia mbinu nyingine sio hii.

Inaua ajira na ubunifu.

Kuna hivi vijamaa vingine vinajiita basata!! Ni kama tumerudi enzi za ujima.
 
Tafuta patner tatizo la waswahili unanataka umiliki 100 per mfate mwenye mzigo mnafungua company mnagawana hisa wewe unakuja na ubongo yeye hela mnaweka kaofisi anakupa na kakijana ka it kazuri kucheza na mavideo clip,there you go
 
Kwanzaa wanamfungiaje mtu YouTube labda ndio nataka kujua
Hawakufungii as per say, ila km uko tz wanakukamata km walivyomfanyia Shafii Dauda, afu wanakupeleka selo unasota paleeeee ukitoka uko hoiii unawapa tuu, ila km uko lets say south africa unapost fresh tuu. Km huko hamna sheria km hii unapost tani yako
 
Nadhani ungeenda TCRA pale utapata mbadala wa swali lako. Hapa tutakuchanganya kwakuwa unataka jibu na hakuna mtaalam wa kukupa ushauri kama sio jibu. Samahani kama nitakuwa nimekosea.
 
Honey Money Penny

Maudhui ya kazi yako ni 18+. Hivyo hata ukikusudia kusajili YouTube Channel hapa TZ yawezekana usifuzu vigezo.

Binafsi sio mtaalamu wa IT, ninachojua kidogo kuhusu umiliki wa media channel kuna standard guidelines za Ulaya/Marekani ambazo lazima u-comply hasa suala la consent, privacy na anonymity. Nadhani pia kuna miongozo specific kuhusiana na maudhui yenye explicit SNV kama maandiko yako.

Well, watu wa IT na Law wanaweza kukushauri vizuri namna sahihi ya kuendelea kurusha habari zako kupitia YouTube na kwingineko. Maana wewe ndio habari yenyewe Honey Money Penny. Sasa channels zikizuiwa maana yake wewe umezuiwa (umefungwa) jela ya nje.

To your writing success!
 
Nahama Nchi wallahi
Naenda kukaa Nigeria Ode
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom