Kiwanda cha Sukari cha Tajiri wa Simba, Mo Sugar, kipo wapi?

Kiwanda cha Sukari cha Tajiri wa Simba, Mo Sugar, kipo wapi?

Ebu nawe fanya hiyo janja janja tuone kama utatoboa
Mimi nimetoboa kwa viwango vya Tanzania.

Sio kapuku hata kidogo japo simfikii MO hata kidogo.

Kwa level ya mtu kama MO ingependeza angeenda extra kuliko anachokifanya.

Uwezo huo anao.
 
Kuna mdau anadai ana kiwanda Tanga ,ila sukari yake ni distributed na sio manufactured sijui imekaaje hapo labda tumsikie
Labda hakijaanza uzalishaji na anataka aingie sokoni mapema.
 
Nimekupata umejuaje ni cha MeLT group?
Nita disclose taarifa zangu na mimi ni mtu mdogo sanaaa.

Ila Mo haagizi sukari nje, ndio maana sukari yako haiko kila mahali ila anatufaa sana sisi masikini sukari nyingi bei rahisi
 
Nita disclose taarifa zangu na mimi ni mtu mdogo sanaaa.

Ila Mo haagizi sukari nje, ndio maana sukari yako haiko kila mahali ila anatufaa sana sisi masikini sukari nyingi bei rahisi
Ila sio manufacture ni packed and distributed by Muhammed interprises Tanzania limited
 
Kwenye hili sifahamu sana, ila ni mnunuzi mkubwa sana wa miwa ya wakulima
Oooh sawa , mfano pale mtibwa na kagera( misenyi) zipo kampuni binafsi zinazouzia muwa kiwanda , zipo kampuni binafsi zinauvuna muwa wa mtibwa kwa kuajiri vijana nakupata kamisheni zao , magari na vifaa vyote ni vyao , wapo watu binafsi pia wanauza muwa moja kwa moja kiwandani , pia zipo kampuni binafsi zinanunua muwa kwa wakulima kwa bei ya chini na kuuzia kiwanda.

Yawezekana hiko kiwanda ni chake na ni kipya anataka kuanza uzalishaji pia
 
Nimegundua mi watu mingi ni mizwazwa inaendeshwa na hisia za Uyanga...
 
Mnaomdharau MO mna ujasiri gani? Mtu anaijua baishara kuliko watu wa humu jamiiforums, kuagiza na kupaki ni biashara bora zaidi kuliko kuanzisha kiwanda kinachokupa running cost kubwa.

Hata wewe unaruhusiwa kufanya hivyo, siyo kuchukulia poa mtu aliyekuzidi halafu unataka umfundishe.
 
Kabisa, eti MO janja janja, halafu lijamaa lina biashara mamia, mswahili anamjadili tajiri🤣🤣🤣
Yanayo msema hayana hata brand name ya biashara yoyote...yani maskini bana sijui tukoje yani...tena ukute maskini halafu bichwa limejaa utimu utamdharau mpaka GSM...yani mtu amekuzidi maili 200...yani hawana hata ABC za biashara wanamponda mfanyabiashara alieanza hata yy hajazaliwa...
 
Mi binafsi huwa naziogopa bidhaa za chakula za MO. Huwa siamini kama anafanya utafiti wa kutosha kuhusu bidhaa kabla hajaanza kuizalisha. Haiwezekani wenzie wakianzisha bidhaa baada ya siku kadhaa naye unakuta anaanzisha bidhaa ya aina ile ile anachobadili ni jina tu kidogo na quantity.
Hao TBS kazi yake ni nini? Au wanampitishia yy bidhaa zake ili aje aue watu au?
 
Hapana haagizi nje ndio maana sukari yake ni bei rahisi ikiwa supermarkets ila hizo zenu ni ghali sana.

Vingine viwapite tu
Kama haagizi nje yeye, kiwanda chake Kiko wapi hapa Tanzania?

Jamaa anaagiza nje na kuweka chapa yake
 
Back
Top Bottom