Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 11,680
- 15,800
Ana mashamba yapo IlongeroMo ni Janja janja jazz Band.
Kama hela ipo Bank ,basi na Shamba lake lipo brazil.
Ana mashamba yapo IlongeroMo ni Janja janja jazz Band.
Kama hela ipo Bank ,basi na Shamba lake lipo brazil.
Hapana haagizi nje ndio maana sukari yake ni bei rahisi ikiwa supermarkets ila hizo zenu ni ghali sana.Nadhani yeye anaagiza nje na kuja kuzibrand kabla ya kuziuza
Hilo kibiashara huwa linafanyika
Kama mmewahi kuona hata zile korosho zinazotolewa kwenye ndege za atcl ukiwa umepanda, walichofanya atcl kwenye korosho ndiyo anachofanya Mo kwenye sukari
Mashamba ya Mkonge.Ana mashamba yapo Ilongero
Mashamba ya kulima sukari au miwa? Kiwanda chake cha kuzalisha muwa uwe sukari kunaitwaje?Ana mashamba yapo Ilongero
Yeah ila zaidi nnje ya nchi yeye ni msambazaji tu na kuweka lebel yake TBs na TfDA ina ruhusu tu ili kupata soko la ndani
Yeah sukari inayozalishwa Tz ni ndogo mno chini ya kiwango , usipopata makapuni yanayoagiza nnje lazima kuwe na upungufu wa kutishaHata ungekuwa wewe ndio Kanjibai; sukari ipo nchini, kwanini uwekeze hela nyingi kuzalisha sukari, wakati unaweza inunua (finished) kwa nusu ya hela ya uwekezaji, kutoka kwa wazalishaji, ukalisha viwanda vyako na nyingine ukafanya branding, packaging ukauza.
Biashara ta mhindi ni ile ile; faida kidogo kwenye mzunguko mkubwa na wa haraka.
Chuki za masikini bana, ndio maanq umasikini ni ngumu sana kuuvunja. Unakuta unamfunga mtu kimwili na kiakiliHiyo inaruhusiwa kwa mtanzania yeyote, % kubwa ya viwanda vya pombe hasa za spirit akina smart gin, cucker, hawazalishi spirit, wanachanganya na kufanya packaging, mafuta ya kupikia hivyohivyo wana important mapipa na kufanya packaging, wauza korosho nchini na nje ya nchi kwenye super markets wengi hawajawahi hata kuona picha ya mkorosho,ni biashara ya u middle men tu na inalipa sana. Badala ya kuleta chuki kwa Mo aliyetutangulia hatua 100 mbele, tujifunze anafanyaje, tuige kwa kuanzia chini tutatoboa. Chuki hazitusaidii.
Kinaitwa Lulago SugarMashamba ya kulima sukari au miwa? Kiwanda chake cha kuzalisha muwa uwe sukari kunaitwaje?
Kipo mkoa gani ? Nimekitafuta kwenye page na orodha mpya kwenye bodi ya sukari sikioniKinaitwa Lulago Sugar
2024 baada ya upungufu mkubwa walitoa vibali, hizo mambo za sukari zina uchafu mkubwa ndani yake , sukari ni mgodi unaotembea ina umafia wa kutishaSidhani kama hii tenda ya kuagiza sukari nje na ikaja kwa jina lako ni rahisi kihivyi sidhani kabisaa..
Kuna jamaa alipigwa risasi pale mikumi alikua na tani kama 400 za sukari kisa mambo hayo hayo sema watu wengi wapo huko lazima waseme kama ni kitu kirahisi sio rahisi ni zaidi ya biashara ya unga hiyo.2024 baada ya upungufu mkubwa walitoa vibali, hizo mambo za sukari zina uchafu mkubwa ndani yake , sukari ni mgodi unaotembea ina umafia wa kutisha
Sasa kama hujui tu Lulago ipo mkoa gani haya mengine utayaweza?Kipo mkoa gani ? Nimekitafuta kwenye page na orodha mpya kwenye bodi ya sukari sikioni
Nimekupata umejuaje ni cha MeLT group?Sasa kama hujui tu Lulago ipo mkoa gani haya mengine utayaweza?
Ndugu Lulago ipo Mkoa wa Tanga uliza watu wa Songe na kwa taarifa ndogo tu Mo Dewji huenda ana kiwanda hadi hapo mtaani kwako ila huwa havina majina ya Mo Dewji ni vikampuni vidogo vidogo viiiingi
Yeah sukari nihatari mno, miaka hiyo Kilimanjaro, kulikua na magendo ya sukari kenya watu walikua wana download pesa za kutisha , babu magu akaja vurugaKuna jamaa alipigwa risasi pale mikumi alikua na tani kama 400 za sukari kisa mambo hayo hayo sema watu wengi wapo huko lazima waseme kama ni kitu kirahisi sio rahisi ni zaidi ya biashara ya unga hiyo.
Mpaka sasa hivi hiyo unasikia sijui kuna shortage ni mapigo ya watu tu ila viwanda vina uwezo wa kutengeneza sukari mpaka ikabaki Swaziland na Uganda wana sukari hadi ya reserve eti sisi miaka yote ni shortage tu sio kweli.Yeah sukari nihatari mno, miaka hiyo Kilimanjaro, kulikua na magendo ya sukari kenya watu walikua wana download pesa za kutisha , babu magu akaja vuruga
Yes ni kawaida tu.Mbona private label kibiashara ni kawaida tu, angekua kwenye label ya sukari kaandika manufacture by MeTL group hapo ndio angekua mhunu , ila kama ni distributed by MeTL group ni halali kabisa
Kuna mdau anadai ana kiwanda Tanga ,ila sukari yake ni distributed na sio manufactured sijui imekaaje hapo labda tumsikieYes ni kawaida tu.
Lakini kumbuka tunamuongelea tajiri mkubwa kuliko Bakhresa.
Kwa level ya utajiri wake kujenga kiwanda chake ingekuwa ni option nzuri yenye faida kiuchumi zaidi kuliko ulanguzi anaoufanya.